Baba mlezi wa taifa

Joined
Nov 4, 2014
Posts
70
Reaction score
20
Naamini hii ni sababu kubwa ya serikali na watendaji wake kuendesha serikali jinsi wapendavyo.

Sijasikia baada ya kifo cha Marehemu Baba wa Taifa Mwl.J.K.Nyerere Kama Taifa lilimtangaza mrithi au baba mlezi wa Taifa.

Mf,Juzi karika sakata la Escrow nilisikia sauti ya Mama Maria (Mama wa Taifa) ila sauti ya hata mrithi wa Taifa wa Baba wa taifa akitoa sauti juu ya hili.

Mimi binafsi napendekeza majina haya na tupigie kura ili tumpate Baba Mlezi wa Taifa

1.Jaji Joseph Warioba

2.Ali Hasan Mwinyi

3.Samweli Maleccela

4.Kingunge Ngombale Mwilu

5.Joseph Butiku

Kura yako na maoni yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…