dickdickinyo
Senior Member
- May 19, 2015
- 118
- 53
Alinikuta bar nausubiria mchepuko ufike huku nikipata safari ya baridi.Baba mdogo akavuta kiti akakaa na kuagiza kinywaji.Muda si muda mchepuko unafika.ILe umesalimia na kukaa ba mdogo akanivuta chemba na kusema amempenda ghafla huyo rafiki yangu.Mimi nikamchana live kuwa ule ni mchepuko wangu.Sasa Leo kuanzia asubuhi kila Mara ananitumia SMS kuwa nimpe namba ya mchepuko au aseme kwa wife.Nipo njia panda maana sikutegemea kabisa ba mdogo afanye kitu kama hiki.

Mpe umuokoe baba yako, Kwan unataka umuone huyo mchepuko!?
Alinikuta bar nausubiria mchepuko ufike huku nikipata safari ya baridi.Baba mdogo akavuta kiti akakaa na kuagiza kinywaji.Muda si muda mchepuko unafika.ILe umesalimia na kukaa ba mdogo akanivuta chemba na kusema amempenda ghafla huyo rafiki yangu.Mimi nikamchana live kuwa ule ni mchepuko wangu.Sasa Leo kuanzia asubuhi kila Mara ananitumia SMS kuwa nimpe namba ya mchepuko au aseme kwa wife.Nipo njia panda maana sikutegemea kabisa ba mdogo afanye kitu kama hiki.
Una stori nyingi we jamaaa.....