Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,610
Atarudia vp.na amefariki hahahHuyo mchizi hawezi rudia tena huo ulevi
Huyo mchizi hawezi rudia tena huo ulevi
Ndio maana kasema hawezi rudia tena (sarcasm)Atarudia vp.na amefariki hahah
MK254 umesalimika? Hebu jibu salaam isije ikawa ndiwe wewe umetendwa kinyume na alivyotendwa mwanampotevu aliporudi kwa babaye
Bongo vibweka haviishi.Haya mapombe ndio maana niliyaacha, maana unaamka asubuhi halafu mchizi wako anakusimulia upumbavu ulioufanya jana usiku mpaka unatamani ufe tu...
Halafu on a another issue, mbona chupa ya mirinda imetrend sana Bongo, kwa ninavyowajua mlivyo watu wa masinema na madrama, kuna kitu mtakua mumefanya.