Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Jul 22, 2014 #1 Habari za mchana wanaJAMII! eti watanganyika wenzangu: baba Mungu alimaanisha tuishi hivi? Hebu angalia maisha ya watanganyika vijana wengi waliomaliza elimu ya juu yalivo: Elimu - wengi tumekopa na tunadaiwa na HESLB Kila Mtanganyika anadaiwa na Ikulu (deni la taifa) Wenye magari, wengi ni ya mkopo (KCB, tpb, crdb zinawadai) Ndoa - wapo wanaume wanadaiwa mahari (hawakumaliza kulipa yote) Wale wanaomiliki nyumba, wapo baadhi wanadaiwa na Mabenki! Wapo waliokopwa KURA ktk chaguzi mbali mbali! Wapo wanaodaiwa na SACCOS kwa vile walikopa ili kukidhi mahitaji ya harusi! Yaani kila kona ni madeni! Nawasilisha!
Habari za mchana wanaJAMII! eti watanganyika wenzangu: baba Mungu alimaanisha tuishi hivi? Hebu angalia maisha ya watanganyika vijana wengi waliomaliza elimu ya juu yalivo: Elimu - wengi tumekopa na tunadaiwa na HESLB Kila Mtanganyika anadaiwa na Ikulu (deni la taifa) Wenye magari, wengi ni ya mkopo (KCB, tpb, crdb zinawadai) Ndoa - wapo wanaume wanadaiwa mahari (hawakumaliza kulipa yote) Wale wanaomiliki nyumba, wapo baadhi wanadaiwa na Mabenki! Wapo waliokopwa KURA ktk chaguzi mbali mbali! Wapo wanaodaiwa na SACCOS kwa vile walikopa ili kukidhi mahitaji ya harusi! Yaani kila kona ni madeni! Nawasilisha!
Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,201 Jul 22, 2014 #2 Select specific thing what you want to talk about,! ndoa,nyumba,gari,elimu, by the way usiogope kudaiwa na serikali maana hawana utaratibu wa kudai.
Select specific thing what you want to talk about,! ndoa,nyumba,gari,elimu, by the way usiogope kudaiwa na serikali maana hawana utaratibu wa kudai.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Jul 22, 2014 Thread starter #3 Makamee said: Select specific thing what you want to talk about,! ndoa,nyumba,gari,elimu, by the way usiogope kudaiwa na serikali maana hawana utaratibu wa kudai. Click to expand... Mkuu Makamee nakupa like ya nguvu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Makamee said: Select specific thing what you want to talk about,! ndoa,nyumba,gari,elimu, by the way usiogope kudaiwa na serikali maana hawana utaratibu wa kudai. Click to expand... Mkuu Makamee nakupa like ya nguvu!
prospa JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 554 Reaction score 157 Jul 22, 2014 #4 uhai wenyewe tumeazimwa na mungu so usiogope kudaiwa mkuu