Mkuu yamekukuta nin?mbona umetoa wosia mkali hivyo.wahusika watakuja kama mbogo APA.
Yaani we unayechepuka hujioni kuwa wa ajabu ila unaochepuka nao ndio wa ajabu? Ama kweli nyani haoni .......
Heheheeeeee sometime mwanaume ni kama mtoto..... mkidanganywa danganywa ndo munamwaga mapesaa......sasa wew uwe huna hela afu umeoa uzani utapata wa kukuambia ayo maneno..
Muwe mnaangalia sometime tunawa sanifu tuu...mnazani sisi ni wajinga kiasi icho eee
Hapana chezea sisi ni namba ingine kwa kudanganyaaa
Sasa kwa taarifa yako wengine ni wajanja zaidi ya unavyodhani. Anyway, tuachane na hilo la mwanaume kutoa hela, coz, mimi sitoi hata iweje. Unakuta mwanamke ana hela, kwao wako vizuri, tena sometimes anatoa hela kwa mwanaume. Inapotokea sababu siyo hela, anang'ang'ania nini hapo? Eti cute b,