Baada ya miaka 300 Africa haitokuwepo kwani itaitwa jina lingine

Kwanza mjue watu weupe hatatutaki sisi wati watu weusi na kila kukicha wanapanga mipango ni jinsi gani watqtuondoa kweny uso wa dunia hii wabaki wao kama wao tu...we si inamskika mtu kama Trump na agenda zake juu yetu
Ziko wazi sana mkuu nashangaa ambao wanakataa wakati mipango inafanyika na vitendo pia vinafanyika
 
Back
Top Bottom