Habar!! Wanajf kuna pc hp ya mdgo angu alikua anatumia window 10 baada ya kubadilisha na kuweka window 7 kuna baadh ya vitu vilionekana kupungua Mfano kutoka bit 64 had 32 na pia ram inaandika 4gb(usable 2) kwamba hii ndivo inavokaaga au ni vp waungwana kwa mwenye kuelewa hapo naomba ufafanuzi wakuu!!!