Akili zetu tunazijua wenyewe,Miaka mingi imepita kabla sijaoa, nilimpenda sana wakati huo binti mmoja kwa sasa ni mama mtu mzima, nikamtongoza akanisumbua weeee siku moja akaniuliza kusudi langu kwake ni lipi? Nikamjibu kama siku zote nilishakuambia ni kukuoa tuanzishe familia akasema poa atanipa jibu.
Wakati wote namtongoza alikuwa akiniambia yeye ni bikra hajawahi kuguswa na mwanaume katika maisha yake. Siku ikafika akanifata tukaenda zetu faragha, lahaulaaa nikakutana na uchi ZOEFU wa kutiwa akajua kwamba nimelitambua hilo na sikufurahishwa kwa uongo wake. Baada ya pale nilitokea kumchukia sana na sikuwa na hamasa tena ya kumtafuta.
Pamoja na kutoa maelezo meengi na kuomba radhi kwa kunidanganya sikuwa na utayari wa kuendelea kuwa naye kimahusiano ya kimapenzi.
By the way ,hiyo bikira yako unazungumzia ni ipi ( ya mbele au ya nyuma)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliumia sana kwa yule msichana maana nilimpenda sana kiasi kwamba kama asingethubutu kunidanganya ningemuoa, lakini kitendo Cha kusema uongo ule sikuona sababu ya kukaa na mtu ambaye hawezi kuwa mkweli ndani ya "ndoa". Na kwa bahati mbaya hajaolewa hadi sasa ingawa mtoto anaye Mkubwa tu....kila akiwasiliana na mimi haachi kujilaumuAkili zetu tunazijua wenyewe,
Sasa unadanganya kuwa ni bikra hili iweje?? Sometimes tunajiharibia wenyewe.
Majuto ni mjukuuNiliumia sana kwa yule msichana maana nilimpenda sana kiasi kwamba kama asingethubutu kunidanganya ningemuoa, lakini kitendo Cha kusema uongo ule sikuona sababu ya kukaa na mtu ambaye hawezi kuwa mkweli ndani ya "ndoa". Na kwa bahati mbaya hajaolewa hadi sasa ingawa mtoto anaye Mkubwa tu....kila akiwasiliana na mimi haachi kujilaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa alikosa mnato; jitahidi uwe na mnato, ikiingia iwe inavutwa kwa ndani
Aisee, nawe mpotezee
Frank, Emmanuel na Denis sio majina ya kuwapa watoto.
Nilivyoona tu mwandiko wa kiume nikaacha kuisoma hii story
Sijutii kutolewa bikira…. Kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi [emoji2827]
Labda alikuta bikra FEKI
mimi ndo frank mwenyewe, ninachokumbuka sijaitoa vizuri , nimeitoa mara moja tu, sasa sijui salim kamalizia
ananionea tu , mimi nimeitoa mara moja tu, ameanza kunilaumu, bora ingekuwa mara mbili afu mimi ni mwinjirist et
Njoo pm my tufanye logistics za kuliwazanaKama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi8 kwa jina lake ni Frank kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndio huyo mchaga ambae hayuko romantic… Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpk mwezi uliopita ndio tulifanikiwa kukulana
Nikiwa nimetimiza miaka25 mwezi uliopita niliona sio mbaya kumtunuku ninaemwita mpenzi wangu Frank
Hata yeye alifurahi maana ndio mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri) akaniahidi ahadi kedekede,, basi ndio hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi
Sasa ndugu zangu mimi ndio bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia.. baada ya tendo alionesha kunikea Kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndio mambo yakarudi kama mwanzo hanitafuti mpk nimuanze… mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza Kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu
Tangu hapo sikumtafuta baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpk hivi leo navoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha … nilikuwa na view status zake nae ana view zangu ila baadae nikaona kimyaa sioni status zake wala sioni akiview zangu
Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli ikabidi nimuulize sister angu kwamba anaona status za Frank akajibu ndio ni kamwambia na dp aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa
Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia Kama Leo baada ya kujua kumbe kaniblock
Inamaana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage…
Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara ila ndio hivyo tena
Sijutii kutolewa bikira…. Kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi
Ni hayo tu naombeni mniliwaze [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Paragraphs 2 tu na nimeshindwa kuendelea. Sio tone ya mwanamke hii.
Labda ulimpikia chapati ngumu kuliko maisha yakeView attachment 2402192
Huna maaajabu mkuu
Pole,nimekuonea huruma kwa dhati kabisa.Ila sema haikuwan na ulazima wa kumuonyesha utupu wako Frank kabla ya ndoa kwa sababu ulikuwa unafanya uasherati tuu huo,ijapo umepamba kwa neno "Kulana".Mungu akusaidie.
Lakini pia ume-sound kama wewe ni msanii hiv.Kwa jicho la ndani ni kama kuna kitu unakitangaza humu.
Ndoa hadi niipate na nyingine kwanza, ili niamini kama ni kweliNa ulisema nyinginee utaimalizia ukinioa mbona umenikatili [emoji23][emoji23]
Miaka mingi imepita kabla sijaoa, nilimpenda sana wakati huo binti mmoja kwa sasa ni mama mtu mzima, nikamtongoza akanisumbua weeee siku moja akaniuliza kusudi langu kwake ni lipi? Nikamjibu kama siku zote nilishakuambia ni kukuoa