Noizee maker
Member
- Sep 4, 2022
- 94
- 493
Mdogo wangu am real so sad for you...
Mwanaume anayekupenda na mwenye future na wewe anatakiwa KUFUATA taratibu zote ikiwemo kuja nyumba kwetu, kutoa mahari na mfunge ndoa!!! Toka lini kumtunuku mwanaume bikra yako nje ya ndoa kunakufanya wapekee????
Leo kakuacha, kesho anaolewa na mwingine utaenda kumwambia BIKRA yako imepotelea wapi? Atakuona ulikuwa mchepukaji na hata ikitokea sintofahamu ataamini maana kama uliweza kutunuku kabla ya ndoa utashindwa ukiwa kwenye ndoa???
WASICHANA tubadilike jamani!!! Sasa hivi amekuongeza kwenye ORODHA YA ALIOFANYA NAO NGONO NA HUENDA ALIOWEKA JIWE LA MSINGI!!!!
Amini usiamini MWANAUME anapokukuta BIKRA kwenye HONEYMOON yenu LAZIMA ATAKUHESHIMU SANA MAANA HAKUNA ZAWADI KUBWA KWAKE KAMA KUINGIA KWENYE NDOA UKIWA SEALED!!
Pole sana, samehe MOVE ON MDOGO WANGU.
Kwa uelewa wangu mdogo kabla haujatangazia umma kua unaoa lzm utest mitambo ndio uutangazie umma kwa mikogo n.k labda kama uturuhusu kuoa wengi lkn kama ni mmoja lzm mitambo itestiweMdogo wangu am real so sad for you...
Mwanaume anayekupenda na mwenye future na wewe anatakiwa KUFUATA taratibu zote ikiwemo kuja nyumba kwetu, kutoa mahari na mfunge ndoa!!! Toka lini kumtunuku mwanaume bikra yako nje ya ndoa kunakufanya wapekee????
Leo kakuacha, kesho anaolewa na mwingine utaenda kumwambia BIKRA yako imepotelea wapi? Atakuona ulikuwa mchepukaji na hata ikitokea sintofahamu ataamini maana kama uliweza kutunuku kabla ya ndoa utashindwa ukiwa kwenye ndoa???
WASICHANA tubadilike jamani!!! Sasa hivi amekuongeza kwenye ORODHA YA ALIOFANYA NAO NGONO NA HUENDA ALIOWEKA JIWE LA MSINGI!!!!
Amini usiamini MWANAUME anapokukuta BIKRA kwenye HONEYMOON yenu LAZIMA ATAKUHESHIMU SANA MAANA HAKUNA ZAWADI KUBWA KWAKE KAMA KUINGIA KWENYE NDOA UKIWA SEALED!!
Pole sana, samehe MOVE ON MDOGO WANGU.
Naomba kujua wewe na Frank mlikutana wapi? Wewe unajushughulisha na shughuli gani ya kiuchumi ya kuingiza kipato?Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi 8 kwa jina lake ni Frank, kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndiyo huyo mchaga ambae hayuko romantic. Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpaka mwezi uliyopita ndiyo tulifanikiwa kukulana.
Nikiwa nimetimiza miaka 25 mwezi uliopita niliona siyo mbaya kumtunuku ninayemwita mpenzi wangu Frank. Hata yeye alifurahi maana ndiyo mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri), akaniahidi ahadi kedekede. Basi ndiyo hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi.
Sasa ndugu zangu mimi ndiyo bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia. Baada ya tendo alionesha kunijali kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndiyo mambo yakarudi kama mwanzo, hanitafuti mpaka nimuanze. Mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu
Tangu hapo sikumtafuta, baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpaka hivi leo ninavyoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha. Nilikuwa na view status zake naye ana view zangu ila baadaye nikaona kimya, sioni status zake wala sioni akiview zangu.
Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli, ikabidi nimuulize sister wangu kwamba anaona status za Frank akajibu ndiyo, nikamwambia na dp, aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa!
Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia kama leo baada ya kujua kumbe kaniblock. Ina maana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage? Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara, ila ndio hivyo tena.
Sijutii kutolewa bikira, kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi.
Ni hayo tu naombeni mniliwaze. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Unaumia kisa kakublock mbona nikitu kidogo sana tu hiko kuwa na moyo wakutokujali my dear...!kama hakupendi move on na kama ni wako mungu kakupangia atarudi. Tatizo 25 mapenz yanakupelekesha ukivuka 28 utakiwa unapuuzia vitu kama hivyo.endelea kufanya shuguli zakoKama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi 8 kwa jina lake ni Frank, kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndiyo huyo mchaga ambae hayuko romantic. Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpaka mwezi uliyopita ndiyo tulifanikiwa kukulana.
Nikiwa nimetimiza miaka 25 mwezi uliopita niliona siyo mbaya kumtunuku ninayemwita mpenzi wangu Frank. Hata yeye alifurahi maana ndiyo mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri), akaniahidi ahadi kedekede. Basi ndiyo hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi.
Sasa ndugu zangu mimi ndiyo bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia. Baada ya tendo alionesha kunijali kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndiyo mambo yakarudi kama mwanzo, hanitafuti mpaka nimuanze. Mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu
Tangu hapo sikumtafuta, baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpaka hivi leo ninavyoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha. Nilikuwa na view status zake naye ana view zangu ila baadaye nikaona kimya, sioni status zake wala sioni akiview zangu.
Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli, ikabidi nimuulize sister wangu kwamba anaona status za Frank akajibu ndiyo, nikamwambia na dp, aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa!
Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia kama leo baada ya kujua kumbe kaniblock. Ina maana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage? Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara, ila ndio hivyo tena.
Sijutii kutolewa bikira, kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi.
Ni hayo tu naombeni mniliwaze. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kakutana na BWAWA LA MTERA....😂😂😂😂😂Hapana ni mara ya kwanza
Huyu ajafafanua vizur,Huu mwandiko sio wa mwanamke aliyekuwa bikra siku kadhaa nyuma.
Waswahili wana kamsemo "usitishie kujamba wakati unaharisha"😅😅😅Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi 8 kwa jina lake ni Frank, kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndiyo huyo mchaga ambae hayuko romantic. Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpaka mwezi uliyopita ndiyo tulifanikiwa kukulana.
Nikiwa nimetimiza miaka 25 mwezi uliopita niliona siyo mbaya kumtunuku ninayemwita mpenzi wangu Frank. Hata yeye alifurahi maana ndiyo mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri), akaniahidi ahadi kedekede. Basi ndiyo hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi.
Sasa ndugu zangu mimi ndiyo bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia. Baada ya tendo alionesha kunijali kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndiyo mambo yakarudi kama mwanzo, hanitafuti mpaka nimuanze. Mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu
Tangu hapo sikumtafuta, baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpaka hivi leo ninavyoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha. Nilikuwa na view status zake naye ana view zangu ila baadaye nikaona kimya, sioni status zake wala sioni akiview zangu.
Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli, ikabidi nimuulize sister wangu kwamba anaona status za Frank akajibu ndiyo, nikamwambia na dp, aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa!
Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia kama leo baada ya kujua kumbe kaniblock. Ina maana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage? Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara, ila ndio hivyo tena.
Sijutii kutolewa bikira, kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi.
Ni hayo tu naombeni mniliwaze. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kakutana na bikira ambayo ameelea bila kugusa ukuta wa shimo😂😂😂Pole Sana labda hakukutana na expectations alizotarajia kutoka kwako
.Kuna watu wanakuja kweny maisha yetu kwa ajili ya kutufunza tu kipi tusije fanya tena maishaniKama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi 8 kwa jina lake ni Frank, kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndiyo huyo mchaga ambae hayuko romantic. Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpaka mwezi uliyopita ndiyo tulifanikiwa kukulana.
Nikiwa nimetimiza miaka 25 mwezi uliopita niliona siyo mbaya kumtunuku ninayemwita mpenzi wangu Frank. Hata yeye alifurahi maana ndiyo mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri), akaniahidi ahadi kedekede. Basi ndiyo hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi.
Sasa ndugu zangu mimi ndiyo bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia. Baada ya tendo alionesha kunijali kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndiyo mambo yakarudi kama mwanzo, hanitafuti mpaka nimuanze. Mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu
Tangu hapo sikumtafuta, baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpaka hivi leo ninavyoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha. Nilikuwa na view status zake naye ana view zangu ila baadaye nikaona kimya, sioni status zake wala sioni akiview zangu.
Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli, ikabidi nimuulize sister wangu kwamba anaona status za Frank akajibu ndiyo, nikamwambia na dp, aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa!
Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia kama leo baada ya kujua kumbe kaniblock. Ina maana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage? Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara, ila ndio hivyo tena.
Sijutii kutolewa bikira, kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi.
Ni hayo tu naombeni mniliwaze. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Uko sahihi kabisa,huyu ni senior wa zaidi ya miaka 5Huu mwandiko sio wa mwanamke aliyekuwa bikra siku kadhaa nyuma.
Haa mm nakupenda mbona.Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi 8 kwa jina lake ni Frank, kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndiyo huyo mchaga ambae hayuko romantic. Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpaka mwezi uliyopita ndiyo tulifanikiwa kukulana.
Nikiwa nimetimiza miaka 25 mwezi uliopita niliona siyo mbaya kumtunuku ninayemwita mpenzi wangu Frank. Hata yeye alifurahi maana ndiyo mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri), akaniahidi ahadi kedekede. Basi ndiyo hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi.
Sasa ndugu zangu mimi ndiyo bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia. Baada ya tendo alionesha kunijali kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndiyo mambo yakarudi kama mwanzo, hanitafuti mpaka nimuanze. Mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu
Tangu hapo sikumtafuta, baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpaka hivi leo ninavyoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha. Nilikuwa na view status zake naye ana view zangu ila baadaye nikaona kimya, sioni status zake wala sioni akiview zangu.
Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli, ikabidi nimuulize sister wangu kwamba anaona status za Frank akajibu ndiyo, nikamwambia na dp, aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa!
Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia kama leo baada ya kujua kumbe kaniblock. Ina maana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage? Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara, ila ndio hivyo tena.
Sijutii kutolewa bikira, kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi.
Ni hayo tu naombeni mniliwaze. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Siyo sawa!! Mtumainie bwana Mungu wako na mtake msaada NAYE atakunyooshea njia zako. Je wamtumainia mwanadamu???Kwa uelewa wangu mdogo kabla haujatangazia umma kua unaoa lzm utest mitambo ndio uutangazie umma kwa mikogo n.k labda kama uturuhusu kuoa wengi lkn kama ni mmoja lzm mitambo itestiwe
Katubu sasaWote tunajua ni dhambi
Uko wapi Dada?Nchek inbox nkuambie kituKama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.