K kend Member Joined Dec 17, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Apr 2, 2012 #1 uchaguzi umeisha arumeru na hatimaye waliyekuwa wanamtaka wamempata swali ni kwa wenzetu magamba ... je ninani watamnyooshea kidole? cku si nyingi tutamckia nape akianza kulalama...
uchaguzi umeisha arumeru na hatimaye waliyekuwa wanamtaka wamempata swali ni kwa wenzetu magamba ... je ninani watamnyooshea kidole? cku si nyingi tutamckia nape akianza kulalama...
N Ngoksi Member Joined Jan 17, 2012 Posts 45 Reaction score 12 Apr 2, 2012 #2 nape awez lalama maake apo halipo amesherekea sana kwa kambi ya lowasa kushndwa