Sasa kama alikuwa na boyfriend kwa nini alijiachia kwako? Tena anasema "I have a man whom I love with all my heart, my soul and strength and he loves me the same way", kama ni kweli kwa nini aliamua kumsaliti? Napata kigugumizi!!!