Baada ya Israel kuzima internet Gaza sasa bilionea Elon baada ya maombi ya watu zaidi ya milioni 250 kuomba Star Link iwashe Gaza finally wamekubali na hii imewakera sana Wahalifu wa mjini Telaviv
"Starlink will support connectivity to internationally recognized aid organizations in Gaza." Ameandika Elon kwenye ukurasa wake wa twitter.
====
Baada ya Israel kuzima internet Gaza sasa bilionea Elon baada ya maombi ya watu zaidi ya milioni 250 kuomba Star Link iwashe Gaza finally wamekubali na hii imewakera sana Wahalifu wa mjini Telaviv
"Starlink will support connectivity to internationally recognized aid organizations in Gaza." Ameandika Elon kwenye ukurasa wake wa twitter....

Kiukweli kabisa siungi mkono kinachoendelea kwa raia wa Gaza ,pia nikiangalia wanawake na watoto wa Gaza walivyokua wakisherekea kuchinjwa na kutembezwa uchi kwa raia kama wao wasio na hatia nashawishika kusema Wacha karma ishike mkondo wake
Wewe hao unaowaonea huruma wanakuthamini???niambie sisi ngozi nyeusi nani anatujali ktk hao waarabu na wazungu wanaogombana!!!
Hao wote ni wendawazimu mmoja kichaa kimempanda kamchokoza mwenzake mwenzake nae asijue ni chizi katoka mtoni uchi kumkimbiza mwisho yanakuwa hayo yanayotokea,Africa tuna vita ngapi active zinaendelea wanakufa weusi wenzetu mbona hatujawahi kuwasikia hao unaowatetea humu wakitoa neno la huruma?