Poa kaka na ni chuo gani unaeza kushauri aende in case anataka clinical medicineHaya pitia hapa
Mada maalumu: Fani za afya kwa level ya diploma - JamiiForums
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Mkuu naona kama hajasoma Physics au umeisahau?? Kama hakusoma physics na kuifaulu kwa walau D kwa kada ya afya labda asome community health tofauti na hapo basi aangalia kada zingineHabari wan JF, natumai ni wazima....., nina dogo langu kamaliza Form 4 na matokeo yake ni Civ-C, Bios-C, Chem-C, Maths-D, Eng-C, Hist-C, Geo-C, Kisw-D, Litreture-D, anaeza piga kozi gani chuo ambayo ina market kwa sasa katika secta ya afya. Naombeni ushauri wenu wakuu.
Ko clinical medicine akianzia ngazi ya certificate afu apige diploma bado hana vigezo auMkuu naona kama hajasoma Physics au umeisahau?? Kama hakusoma physics na kuifaulu kwa walau D kwa kada ya afya labda asome community health tofauti na hapo basi aangalia kada zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo inabidi uangalia vigezo vya NACTE ila kwa sasa siyo rahisi kwa mtu ambaye hajasoma masomo yote ya sayansi na kuyafaulu walau kwa D kusoma kada za afya tofauti na community healthKo clinical medicine akianzia ngazi ya certificate afu apige diploma bado hana vigezo au
Kwanini msimpeleke advance?.Habari wan JF, natumai ni wazima....., nina dogo langu kamaliza Form 4 na matokeo yake ni Civ-C, Bios-C, Chem-C, Maths-D, Eng-C, Hist-C, Geo-C, Kisw-D, Litreture-D, anaeza piga kozi gani chuo ambayo ina market kwa sasa katika secta ya afya. Naombeni ushauri wenu wakuu.