Baada ya dhiki faraja!

Ajali au sio?
Binti wa kazi ni mmoja wa wanafamilia wa karibu kabisa kama unamtamani kimapenzi it means huwezi shindwa kutamani wanafamilia wengine!
Congrats ur such a unique woman,i wish ningekuwa mr..
 
Mungu aepushie mbali!!
Kupata Ka binti Ka kazi kakaeleweka walau miaka 2 na kuendelea sio Jambo rahisi watu wanakutana na vitimbwi!
Unamanisha huyo binti alikuwa ni house girl ?
 
Unazani wanatabilika hao subiri equatorial baltasa engonga akugongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…