Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

Ni vizuri.
Kuna wakati ukifika, mwili auhitaji misukosuko na mikelele ndio maana unaamua kujipumzikia zako.
Ila siku moja moja huwa lazima kujumuika na ndugu,jamaa na rafiki kilajini.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kama hiyo H naijua.
Kijiwe cha madalali pale.πŸ₯΄
Kumbe hizi mambo ukute wamiliki wenyewe ndio huleta mchezo mchafuπŸ€”.
Dah! Kweli mjini akili zako tu.
Nakumbuka wakati fulani huko Dar nilienda club moja, sasa wakapuliza ule smoke sijui....nikaanza kuhisi maruweruwe.
Kuja kuuliza, duh!!....kumbe tunatiliwa vibe la moshi lenye mchanganyiko wa kilevi..... hapo stimu za kucheza zinapanda balaa, wengine mpaka vichwa viliwauma.
 
Sasa na siku hizi wadada wamezibuka na shisha si inakuwa hatari kabisa?
 
Hivi huyu hersi ndo kwao tulikua tunaenda kununua "ashklim" pale karibu na geti la shule? Siku nyingi nimesahau ila tulikua darasa moja na dogo moja la kisomali alikua mtundu mtundu hivi na alikua na Dada yake
 
Sikumbuki vzr alikuwa mtaa gani, kama sio Kipata basi Somali str. Karibu na Sukita kwa nyuma. Unasema ashkrim za kwa ba'Faizana??πŸ˜‚ nunua sana fagio za chelewa
 
Sikumbuki vzr alikuwa mtaa gani, kama sio Kipata basi Somali str. Karibu na Sukita kwa nyuma. Unasema ashkrim za kwa ba'Faizana??πŸ˜‚ nunua sana fagio za chelewa
Swadakta! Unamkumbuka mwalimu deo alikua hatumii fimbo kuchapa Bali pipe ya maji, mama wa kichaga bonge hivi na mwanae bonge hivi, mwalimu mwingine alikua anauza visheti na kalmati kuna siku nikavipiga teke vikamwagika chini nikapelekwa kwa mkuu akanitetea kwamba ni bahati mbaya, kuna madogo walikua wanakaa kota za railway walikua wakorofi wakorofi sana wakina msaki,madaftari na majalada tunanunua duka moja tu Tahfifu kariakoo, cha kushangaza shule zipo karibu karibu sana yaani shule nyingi sehemu moja kisarawe,gerezani,Uhuru,mtendeni,mnazi mmoja
 
Sikumbuki vzr alikuwa mtaa gani, kama sio Kipata basi Somali str. Karibu na Sukita kwa nyuma. Unasema ashkrim za kwa ba'Faizana??πŸ˜‚ nunua sana fagio za chelewa
Nilikua najiuliza kipindi kile Niko mdogo kwa nini ile shule ya watoto wenye utindio wa ubongo 98% ni wahindi? Mwafrika alikua mmoja au wawili na waarabu wachache. Kuna rafiki yangu mmoja akiitwa Paulo bless baba yake alikua anaendesha zile pikipiki za kuongoza msafara wa rais sijui yuko wapi, alikua anakaa trafiki kota
 
Duuh inaonyesha una gongwa sana ww. Wanawake walevi sio poa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…