Baa medi wa kiume.

Mngemshika shika na huyo, lol...mbona mapinduzi yangekuwa mapinduzi kweli!..hata muhudumu awe kibibi, wewe agiza unachotaka na usepe..mengine ni kujitakia!
 
mngemshika ndevu zake huyo bar man,ndio sikukuu ya mapinduzi ingepita vizuri kabisa. Nalog off
 
Wanawake muhimu bwana! Kuna Shell moja nimewaambia sitanunua tena mafuta mpaka wawe na wauzaji wa kike! Waliokuwepo wamewafukuza ovyo!

Hiyo una uhakika ilikua ni shell mzee?isije ikawa ni BP maana shell siku hizi bongo si sana,au ilikua ni shell ya BP???????
 
..Nina rafiki yangu ambaye nikikaa nae bar ana insist kuwa ahudumiwe na mhudumu wa kike..argument yake ni kuwa huduma za namna hiyo (Chakula, vinywaji, kufuta meza nk) huipata kwa mke wake (Mwanamke) kinyume chake he find it absurd..it gayish kwake mwanume kumhudumia in a manner that resembles what his wife does to him...
 
Ulifuata kinywaji au aina ya mudumu?
Hata bar medi wa kiume pale ndiyo ofisi yake. Jaribu kuheshimu ofisi za wenzenu. Kama ajira hamna watu wameajiliwa wewe unawakandia. Acha hizo!
 
Hiyo una uhakika ilikua ni shell mzee?isije ikawa ni BP maana shell siku hizi bongo si sana,au ilikua ni shell ya BP???????

The tehe the nilikuwa namaanisha Petrol Station c unajua tena kibongobongo
 
Hiyo una uhakika ilikua ni shell mzee?isije ikawa ni BP maana shell siku hizi bongo si sana,au ilikua ni shell ya BP???????

The tehe the nilikuwa namaanisha Petrol Station c unajua tena kibongobongo
 
puuzi kweli,af utakuta Una mke nyumbani.nameno mazuri kapewe na mkeo. piga tilalila then jikatae coz watu wanatafuta pesa life NGUMU
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…