Baa medi wa kiume.

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Niwape her ya mapinduz wazanzibar wote. Katika kuwaunga mkono nikaambatana na rafk zangu kupata chupa 1 mchana huu. Mara tunakaribishwa na mhudum mwanaume, kakomaa, midevu kama Osama! Tumeishia kuagiza maji tukaondoka zetu, ham ya bia kwishnehi. Wenye baa wengine cjui vp!
 
Wewe ulienda kupumzika na kupata kinywaji au ulienda kusaka wakati nyumbani ulikotoka umeacha mtu na pengine pamoja na watoto???
 
Kumbe bar maıd ndıyo wanashawıshı watu kunywa pombe!
 
Samahani Mh. Labda mi ndo sijaelewa vizuri, hapo mlifata kinywaji au Bar-maids ? Niwekee sawa hapa kwanza ndiyo nipate points za mchango.
 
Hakuwezi kukawa na bar MAID halafu akawa wa kiume!
 
kuna eneo moja mimelisahau jina

ukiweka wadada wateja wanakimbia

pako busy,na watu ni wengi,

wanataka huuduma fast and quick.....
 
Uzinzi tu ndo unakuwasha, ntawaambia wenye bar na hotel wote kuanzia sasa waajiri wahudumu wa kiume tu.
 
Uzinzi tu ndo unakuwasha, ntawaambia wenye bar na hotel wote kuanzia sasa waajiri wahudumu wa kiume tu.

Majaa yasiyo jua kutongoza yanavizia sana bar maid
 
bar yenye ma barmaid mi sipendi, maana huduma zinakuwaga mbaya
 
Wanawake muhimu bwana! Kuna Shell moja nimewaambia sitanunua tena mafuta mpaka wawe na wauzaji wa kike! Waliokuwepo wamewafukuza ovyo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…