Charles kisengo
Member
- Sep 7, 2016
- 6
- 3
Duhh mimi nasoma hii kozi kwahiyo kazi hakuna kabisa maana uchumi tunapiga kama kawaida na watu wa BA economicsSio kozi, yaani wameunga unga tu wameipa iwe kozi hii nchi acha tu
POLE SANA NDO BONGO YETU HII UNAMALIZA DEGREE UNAKUA MLINZI UKIMALIZA KARIBU MTAANI KM HIYO KOZI HAUIELEWI BORA USOMEE UALIMU Hata ukimaliza unafungua centre yako mambo yanakwendaDuhh mimi nasoma hii kozi kwahiyo kazi hakuna kabisa maana uchumi tunapiga kama kawaida na watu wa BA economics
POLE SANA NDO BONGO YETU HII UNAMALIZA DEGREE UNAKUA MLINZI UKIMALIZA KARIBU MTAANI KM HIYO KOZI HAUIELEWI BORA USOMEE UALIMU Hata ukimaliza unafungua centre yako mambo yanakwenda[/QUO
lakini tunasoma Econometrics na microeconomics na macroeconomics na bro wangu alisoma na anafanya kazi Exim bank now
SAWA ILA NSIMUKTATISHE TAMAA SASA HVI HALI JI TOFAUTI NA ZAMANI UPANDE WA AJIRA KM BRO WAKO ALIWIN NI BAHATI YAKE ILA KWA SASA HALI NGUMU AJIRA ZIMEKUA ZAKUBETI SANA
PSAWA ILA NSIMUKTATISHE TAMAA SASA HVI HALI JI TOFAUTI NA ZAMANI UPANDE WA AJIRA KM BRO WAKO ALIWIN NI BAHATI YAKE ILA KWA SASA HALI NGUMU AJIRA ZIMEKUA ZAKUBETI SANA
MDOGO WANGU WHEN IT COMES TO THE MATTER OF AN EMPLOYMENT AISEE SAHAU KUHUSU G.P.A UNAWEZA UKAWA UNA GPA KALI MWAJIRI AKAOGOPA USIMUOTESHEE NYASI KIBARUA CHAKE KWENYE KAZI HIZ FITNA ACHA TU SOMA MDGO WANGU BAADAE UTAKUJA KUONA MWENYEWE SIKUKATISHI TAMAA LAKINI[/QUOTE][QUOTE"ericly, post: 28927902, member: 451584"]Yaah ni kweli ajira zimekuwa shida kidogo ila nikupambana kupata GPA za maana G
P