B.A in Sociology na Masters in Development

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Salaam wakuu.me ni kijana wa miaka 27 niko dar es salaam,nina degree ya kwanza ya sociology na pia nina masters in development managemnet vile vile nimesoma full couse ya monitoring and evaluation.kwa tarifa hiyo hapo juu naomba kujiweka kwenye kwenye soko kupitia hii forum yetu yenye wadau mbali mbali, kwa any updates naomba uni PM..asanteni
 
Ulikimbilia kusoma masters wakati hujapata kazi!sasa hapo una elimu kubwa lakin huna experience ya aina yoyote..ndugu nakushauri utafute mahali ujitolee kwa muda then ndo ujaribu kuomba kazi.
 
Experience ninayo ya miaka miwili.nilipomaliza degree ya kwanza niliajiriwa na government then after two years ndo nikarudi kupiga masters hivyo I have experience ya miaka miwili mkuu.idae yako ni nzuri hata sehemu ya kujitolea am redy for that
 
Kwa hiyo ajira ya serikali uliitupa au bado unaendelea nayo?
 
Experience ninayo ya miaka miwili.nilipomaliza degree ya kwanza niliajiriwa na government then after two years ndo nikarudi kupiga masters hivyo I have experience ya miaka miwili mkuu.idae yako ni nzuri hata sehemu ya kujitolea am redy for that

duh!kwa hyo ulimaliza 1st degree ukiwa na umri gani mwenzetu?
 
Jipange vizuri upya na vizuri mdogo wangu, huku Serikalini kumuajiri mtu ambaye amaacha kazi,amefukuzwa au amestaafu Serikalini ni hadi kwa Kibali kutoka kwa Katibu mkuu Kiongozi na ni ngumu sana kukipata labda uwe kwenye kada kama madaktari.
Kwa hiyo nakushauri katika kuomba kwako kazi zinazotangazwa na Sekretarieti ya ajira au taasisi nyingine za Serikali usieleze kwamba ulishaajiriwa na serikali ukaacha.
Any way pole kwa kuacha kazi kabla ya kupata kazi nyingine Ki ukweli haukuwa uamuzi wa busara. Ajira zimekuwa changamoto sana kipindi hiki kutokana na wingi wa magraduates usirudie tena kufanya kitendo kama hicho, especially ukiwa umeajiriwa na Serikali, Ungeomba tu likizo ya kwenda kusoma hata ya bila mshahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…