Kampuni ya hiyo simu ipo nchi gani?Kama wana tawi karibu na unapoishi,cheki nao wajirekebishe.Na uwaeleze hiyo sauti katika jamii yetu ina maanisha nini.Wataelewa.Nimebadilisha ringtone mkuu. Hapa natoa ushauri tu
Aysee hao mbona wana hatari? Hiyo ringtone ya pili kutoka mwisho mbona ina jina la kibabe sana?Wakuu juzi nilijichanganya nikaweka call ringtone inaitwa ghuma kwenye hiki kisimu changu cha Azumi.
Basi bwana nikawa nimeomba code ya mkeka kwa mshikaji, mida ya jioni jamaa wa code akanipigia simu kunijulisha kuwa tayari ametuma.
Aisee huo mlio sasa wa simu inavyoita "fyokofyokofyoko kwichi fyokofyokofyoko kwichi fyokofyokofyoko kwichi" nilidata wakuu nilijua labda porn imejiplay.
View attachment 2346124
Tafadhali Azumi toeni hiyo ringtone, au basi ibadilishe jina iwe pussy na mlio uwe wa kithungu.
Watu wakajua unajichukuliaga Sheria mkononiWakuu juzi nilijichanganya nikaweka call ringtone inaitwa ghuma kwenye hiki kisimu changu cha Azumi.
Basi bwana nikawa nimeomba code ya mkeka kwa mshikaji, mida ya jioni jamaa wa code akanipigia simu kunijulisha kuwa tayari ametuma.
Aisee huo mlio sasa wa simu inavyoita "fyokofyokofyoko kwichi fyokofyokofyoko kwichi fyokofyokofyoko kwichi" nilidata wakuu nilijua labda porn imejiplay.
View attachment 2346124
Tafadhali Azumi toeni hiyo ringtone, au basi ibadilishe jina iwe pussy na mlio uwe wa kithungu.
Aysee hao mbona wana hatari? Hiyo ringtone ya pili kutoka mwisho mbona ina jina la kibabe sana?
😁😁kwakweli! Na amekwepa ban kinamna sananadhani hii ndio ilikuwa lengo la mletamada ila anakwepa ban