kilichotokea si kigeni miongoni mwa jamii au nchi za kiafrika coz tumeona southern sudan wamepigania haki zao japo kwa nguvu na kumwaga damu nyingi bt mwisho wake wamepata japo mambo babo hapajawa shwari sana,so in case of azawad km mambo waliokuwa wanafanyiwa southern sudan wanafanyiwa hawa tuareg then ni haki yao kudai uhuru so kwangu mimi its ok and berlin conference haikuwa sahihi ktk mgawanyo wa mipaka so athari zake ndo hizi ,sio hawa tu kuna jamii kubwa km wakurd walio iraq,turkey,iran na kuwait pia kuna jamii ya singasinga walio kwenye jimbo la kashmir india nao wana matatizo km haya so ni wajibu wa jamii ya kimataifa kuliangalia kwa upya swala km hili