Habari wakuu .. nimepata tetesi kuwa Azania bank wameanza kuita watu kwa ajili ya interview na itafanyika chuo cha IFM .. mwenye updates kamili atujuze maana hata mimi nimeapply lakini sijapigiwa simu.