Azamtv decorder acheni wizi

mkia

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
581
Reaction score
511
Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza, jana majira kama haya saa mbili kasoro nilinunua kifurushi cha 5000. Mambo yakawa fresh nikapata huduma ya Chanel zao.

CHAKUSHANGAZA leo majira ya saa sita kuelekea Sabá mchana nacheki channel naambiwa access denied nabaki Na TBC1 Na Capital Tv. Yaani kiufupi wameniibia halafu nawapigia hawapokei simu yangu mbaya zaidi nakatwa salio.

Naomba ushauri wenu wakuu niwafanyaje hawa pia kama kuna ambaye anaweza kunisaidia namna gani nipate channel zangu bila kupoteza Siku nilizolipia.

Asanteni Sana kwa muda wenu kusoma uzi huu. Jioni njema
 
kwani azam wana kifurushi cha 5000?
 
Hamia startimes.. kuna kifurushi cha elfu sita unakaa mwez mzima, hakafu wao mvua ikinyesha au kukiwa na mawingu hakizngui kama cha hao matapeli wengine.. startimes is my best decorder hapa tz kwa mimi mtu ya chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani azam wana kifurushi cha 5000?
 

Aisee utajiri unakunukia. Tafuta wakili mahiri afungue kesi, hiyo msg ya risiti ya kulipia usiifute. Utadai fidia ndefu bro watu wengi hawajui haki zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…