Ududu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 1,020 Reaction score 556 Feb 23, 2015 #1 Ni baada ya kutoa suluhu ya bila magoli na Tanzania Prison Leo Chamaz Complex,,Ni swala la muda tu timu ya wananchi Yanga kutangazwa kuwa mabingwa..
Ni baada ya kutoa suluhu ya bila magoli na Tanzania Prison Leo Chamaz Complex,,Ni swala la muda tu timu ya wananchi Yanga kutangazwa kuwa mabingwa..
J Juma72 Member Joined Jan 23, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Feb 23, 2015 #2 vipi matokeo ya simba na stend united
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,892 Feb 23, 2015 #3 Jamaaaa watasema walitoka DRC wamechoka!!loh simba wamesingizia msiba was CAlex!!OK tumewaelewa na nyie mmefiwa??
Jamaaaa watasema walitoka DRC wamechoka!!loh simba wamesingizia msiba was CAlex!!OK tumewaelewa na nyie mmefiwa??
I isack jimmy Member Joined Jan 24, 2014 Posts 7 Reaction score 1 Feb 23, 2015 #4 Simba kafungwa 1 bila
Ududu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 1,020 Reaction score 556 Feb 23, 2015 Thread starter #5 Juma72 said: vipi matokeo ya simba na stend united Click to expand... Simba kagongwa 1 bila
kibafute JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 560 Reaction score 203 Feb 23, 2015 #6 Simba lazima ishuke daraja..simba ukawa oyeeeee
M Muhuwesi JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 306 Reaction score 132 Feb 23, 2015 #7 yaan mikia wamefungwa mbele ya hans poppe,dewji na aveva?sasa hawa viongozi walikwenda kufanya nini shinyanga?
yaan mikia wamefungwa mbele ya hans poppe,dewji na aveva?sasa hawa viongozi walikwenda kufanya nini shinyanga?
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Feb 23, 2015 #8 muhuwesichimalamyasi said: yaan mikia wamefungwa mbele ya hans poppe,dewji na aveva?sasa hawa viongozi walikwenda kufanya nini shinyanga? Click to expand... Shinyanga ni jangwani lakini ni mahali penye mali za kutosha kama vile almasi, dhahabu, pamba, ng'ombe just a few to mention! Hao viongozi walienda kutafuta fursa za uwekezaji na sio kusimamia timu yao ipate ushindi.
muhuwesichimalamyasi said: yaan mikia wamefungwa mbele ya hans poppe,dewji na aveva?sasa hawa viongozi walikwenda kufanya nini shinyanga? Click to expand... Shinyanga ni jangwani lakini ni mahali penye mali za kutosha kama vile almasi, dhahabu, pamba, ng'ombe just a few to mention! Hao viongozi walienda kutafuta fursa za uwekezaji na sio kusimamia timu yao ipate ushindi.
K kemanya.umusubhi Member Joined Jul 31, 2014 Posts 76 Reaction score 27 Feb 23, 2015 #9 azam awezi kukubali kirahis kuachia yanga ubingwa ligi bado mbichi
B bujashi25 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2013 Posts 623 Reaction score 112 Feb 23, 2015 #10 kemanya.umusubhi said: azam awezi kukubali kirahis kuachia yanga ubingwa ligi bado mbichi Click to expand... hivi huo ubichi wa ligi mpaka lini? maana kila mkifungwa mnasema ligi bado mbichi, labda utuambie itaiva lini
kemanya.umusubhi said: azam awezi kukubali kirahis kuachia yanga ubingwa ligi bado mbichi Click to expand... hivi huo ubichi wa ligi mpaka lini? maana kila mkifungwa mnasema ligi bado mbichi, labda utuambie itaiva lini
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Feb 23, 2015 #11 kemanya.umusubhi said: azam awezi kukubali kirahis kuachia yanga ubingwa ligi bado mbichi Click to expand... Hata ile sare na Prisons walikataa katakata isitokee bali uwezo wao uliwapatia matokeo hayo, Ha ha haaa!
kemanya.umusubhi said: azam awezi kukubali kirahis kuachia yanga ubingwa ligi bado mbichi Click to expand... Hata ile sare na Prisons walikataa katakata isitokee bali uwezo wao uliwapatia matokeo hayo, Ha ha haaa!
K kemanya.umusubhi Member Joined Jul 31, 2014 Posts 76 Reaction score 27 Feb 23, 2015 #12 Makoye Matale said: Hata ile sare na Prisons walikataa katakata isitokee bali uwezo wao uliwapatia matokeo hayo, Ha ha haaa! Click to expand... Hizo pointi tano zinakuaminisha ubingwa kwa yanga subiri ,hata msimu uliopita ilikuwa kama sasa hivi
Makoye Matale said: Hata ile sare na Prisons walikataa katakata isitokee bali uwezo wao uliwapatia matokeo hayo, Ha ha haaa! Click to expand... Hizo pointi tano zinakuaminisha ubingwa kwa yanga subiri ,hata msimu uliopita ilikuwa kama sasa hivi
K kemanya.umusubhi Member Joined Jul 31, 2014 Posts 76 Reaction score 27 Feb 23, 2015 #13 mmeshatangazwa mabingwa isije ikafika tunabeba ubingwa mnaanza tafuta mchawi sisi wazee wa polepole . kwani kuna mechi ngapi zimebaki ligi iishe hapo ndipo utaona ubichi wa ligi
mmeshatangazwa mabingwa isije ikafika tunabeba ubingwa mnaanza tafuta mchawi sisi wazee wa polepole . kwani kuna mechi ngapi zimebaki ligi iishe hapo ndipo utaona ubichi wa ligi