Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
MBC zote sasa ni FTA katika nilesat, kama mtakumbuka vizuri kabla ya ujio wa azam zilikuwa fta lakini azam walipokuja zilitiwa kufuli, juzi azam wanajifanya kupandisha bei eti ili uzipate utalipia 20000.
Msisumbuke kulipia hicho kifurushi kikubwa kwa ajili ya MBC. itafute nilesat tu kwyshney 10873 v 27500.
SHIKAMOO FTA.
Daaaah nyie ndio mnafanyaga tunakosa vitu vitamu,hujui kama azam ndio walibana mwanzo Zisionekane? aaaaaah sasa si bora usingewataja azam kwenye heading yako? Wanaume tumeumbwa na siri haikuwa na haja kuleta huku wacha watu wangejua wenyewe kama alivyojua wewe
Nilesat inapatikana kwa dish kuanzia ft2 na kuendelea inategemea na mahali ulipo. Mfano mimi huku mara natumia ft3
Mkuu msaada nikiwa na dish la azam nifanye njia gani kuzipata hizo channel kwa niles?