kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 10,515 Reaction score 17,441 Jul 25, 2021 #21 Dinazarde said: Kumbe Click to expand... Dish ni kama ungo wa mchele tu[emoji23][emoji23] issue pale ni ile receiver ndio ina control taarifa zote Ila dish na decoder ni zozote
Dinazarde said: Kumbe Click to expand... Dish ni kama ungo wa mchele tu[emoji23][emoji23] issue pale ni ile receiver ndio ina control taarifa zote Ila dish na decoder ni zozote
G godfrey joseph chuwa Member Joined Jun 29, 2021 Posts 11 Reaction score 3 Aug 5, 2023 #22 Program Manager said: natamani mwenye majibu anielimishe na mimi Click to expand... Ubora NI uleule Ila dish linatumia satellite hivyo Lina gharama zaidi kuliendesha tofauti na Cha antenna na ndio maana vinapishana Bei
Program Manager said: natamani mwenye majibu anielimishe na mimi Click to expand... Ubora NI uleule Ila dish linatumia satellite hivyo Lina gharama zaidi kuliendesha tofauti na Cha antenna na ndio maana vinapishana Bei