Azam TV mmeridhika nini?!!

heavyload

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
925
Reaction score
528
Hamtupi taarifa mmefikia wapi kumaliza mgogoro wenu wa kisheria na serekali wala hamuoni kuwa mnazidi kupunguza coverage day by day. Watu tulinunua ving'amuzi kwa ajili ya kuhabarika sasa leo mnatuwekea movie tu. Eti habari tuipate azam app?!!

Wangapi wako kwenye networks nzuri,wangapi wana uwezo wa kununua hizo smart phones. Msipoangalia wateja hasa wa vijijini mtawapoteza wote
 
Ups & Downs kwenye business ni jambo la kawaida, soon mambo yatakaa sawa so vuta subira
 
Wakupe taarifa zipi ndugu yangu!

Zakusifia ccm mbele kwa mbele!

Zakusifia maendeleo hewa?

Zakuongopa, maana ukiandika ukweli tu

1. Unahojiwa

2. Unavamiwa

3. Unaambiwa wewe sio RAIA

4. Unafilisiwa

5. Unatishwa

BORA kuacha kabisa, inaleta maana kuliko kuwahadaa Wateja wako kwa habari za kupamba uwongo na kupotosha
 
Mkuu embu soma thread yangu vizuri uielewe. Comment yako haiko relevant to what I have posted!
 
Mkuu embu soma thread yangu vizuri uielewe. Comment yako haiko relevant to what I have posted!

Mkuu hii inafikisha

Unaweza nielewa vema ukitoka nje yabox

Three dimensional thinking and focussing

Azam wamekupeleka porini kukuzuga tu baada ya kuona taarifa yasiku hizi ni ushenzi.
 
TCRA washasema peleka vielelezo vyako, Azam watakulipa.
 
AZA,M angalieni namna ya kuwasaidia wateja wenu, sisi wateja hatuowani kama mnahangaika kuturudishia huduma (you are not aggressive enough to solve this matter , looks like you are salisfied, ahaa,) sasa nawaambia mtakao kuja kuumia ni nyinyi wafanyakazi mnaojibu simu na sauti ndogo wakati unamsikia jirani yako anapiga umbea pembeni. rudisheni hizo chanel, mtakimbiwa , shauri yenu, for english, press tigo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…