Liku kuu Tanzania bara inazidi kuchukua kasi tunaona timu Mpya kama Mbeya City ikiwatoa jasho vibonde wa ligi
Upande wa pili tunaona Man City ya bongo (AZAM FC) ikiwa bado haijatoa taswira halisi ya kipi wanafanya ukilinganisha na miundo msingi walio nayo kama vile haitoshi wamesheheni wachezaji wenye vipaji ktk timu hiyo
ndipo ninapo jiuliza Azam wamekose wapi??????