Azam decoder for sell

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Wakuu nauza decoder tajwa hapo juu bei ni elfu 70 Ila haina ungo maana ungo nautumia.kwa mawasiliano zaidi piga 0686979746
 
Aithee,kumbe bei ipo poa namna hii.
Nani huyo anaweka kauzibe hapo juu.

Ukiuza,na mie nauza changu ila nasubiri chako kwanza kitoke.Maana namie nilichukua vitatu ila kimoja hakitumiki.
 
Dukani ni 99,000 unapewa kila kitu, kama unataka receiver tupu ni 70,000 tu. mimi ni wakala wa azam.
 
Hili Suala halihitaji kujadili saaana
Selfish ametoa maelezo sahihi.

Hata Dstv,Decoder yake ukiipata ni ghali kuliko lile dish.
Sasa unapoenda kuithaminisha Decoder ni lazima bei itakuwa kubwa tu.
 
Nenda pale tazara ofisi za azam watakuuzia, receiver tupu ni elfu 70,000/= ukitaka full pamoja na ungo ni 99,000/= . wanauza hivyo kwasababu ukiwa na receiver unaweza kutumia ungo wowote. kama huamini piga sim yao no, 0764 700 222.
 
Mwenye kuuza decoder ya Azam tujulishane,kuna 50,000 cash
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…