Ni azam tu wameshindwa KUPATA GG wengine karibu wote walipata goal.Ni chujio[emoji23]
TETESI: Nyanda wa Klabu ya Simba, Ayoub Lakred ameamua kuondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja klabuni hapo kufikia ukomo.
Kwa mujibu wa ripoti Ayoub (28) raia wa Morocco amepata ofa kutoka moja ya vilabu Nchini kwao hivyo hayupo tayari kuendelea kusalia Nchini Tanzania.
#KitengeSports
NB: Bakolo bataliaView attachment 2987638