Waungwana nimeamua kuoa na kuanza maisha ya ndoa,hii tabia ya kusema bado hapana.Ajitokeze tu mwalimu wa sekondari nikamilishe taratibu za kwenda kwao.Umri awe na 23-26.