Awamu mpya na siasa za kitapeli

2020 naina kama karne 1.mpaka tumalize kipindi cha miaka 5 maji tutaita mmaa.
 
Muda bado. Hatuwezi kutoka na conclusions kwamba ime fail.
Mwenendo hubadrika pia.
 
Hataree!cha ajabu wengi WA watu 2020 haswa ngome Za ccm hawatakumbuka kuulizia utekelezaji WA ahadi walizopewa na Ccm. Elimu elimu elimu
Ule wali maharage wanaowapikiaga mashabiki sijui wanawekaga libwata?
 
Mkuu tunaomba utakaporudi njoo na mask au nguo ya ndani mdomoni kuwaunga viongozi wetu mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…