kwa wale waliotupa avatar 2 dongle sasa hivi zinafanya kazi,data service satellite ilikuwa frequencies namba 12728 h 30000 kule dstv wamenunua satellite ndio maana hakuna signal katika avatar dongle ipo satellite ambayo kuna signal zipo ya avatar 2 nakufungua dstv kama unaweza kufunga dish basi funga satellite hii eutelsat 16a sessat1@16degree east au tafuta fashion tv pande hizo ila research inaendelea