Autopsy Finalized, Bihozagara Burial For Friday

Kuwawa jela ni jambo la aibu lakini sio la ajabu, hata marekani watu wanakuwa assasinated in jail. Ajabu ni pale wapinzani wa serikali wanapotekwa na kuibukia ziwani kama inavyofanyika Rwanda.
 
hapo sasa mkuu! ndio ujue jMali katumwa au anataka kuleta visasi visivyo na sababu! deceased Jacques Bihozagara was kept incommunicado util his death, vyuma ndugu yako, mambo ya Burundi yameanza kum'hadhirisha! ASANTE kwa kuliona hilo Consigliere !
Jibu kwanza what was his status in Burundi? Was he a visitor or a legal resident?
 
Nimeshawahi kumuuliza mchambawima1 kwamba, kwa nini mtu akiuawa iwe Burundi au Rwanda anakuwa wa kwanza kufahamu na kurusha mitandaoni ? Kuna nini kumuhusu huyu mtu ? Mimi nahisi yeye ndio anaetekeleza haya mauaji au mabaya yoyote yanayotokea.
Jibu kwanza what was his status in Burundi? Was he a visitor or a legal resident?
mfanya biashara na mwenyeji wa Burundi!
 
Kuwawa jela ni jambo la aibu lakini sio la ajabu, hata marekani watu wanakuwa assasinated in jail. Ajabu ni pale wapinzani wa serikali wanapotekwa na kuibukia ziwani kama inavyofanyika Rwanda.
tupe mfano basi wa mpinzani aliyeibukia ziwani!
 
Kuwawa jela ni jambo la aibu lakini sio la ajabu, hata marekani watu wanakuwa assasinated in jail. Ajabu ni pale wapinzani wa serikali wanapotekwa na kuibukia ziwani kama inavyofanyika Rwanda.
Mkuu hii ndo diplomatic blindess inayowaponza,msiwe mnajiamini kwa ujinga kama huu ,time will prove you.Use your intellectual capacity to analyse and challenge any situation presented in your hands and not the stupid fanaticism you are bringing here.Why do you copy the bad practice happening in US and not the good things? Why shouldn't you stand as an individual or as an African with our own culture of respecting others'right to life.You want to mean that because Americans have butchered people's around the world ,so you too you legalize the killings being carried on by the the criminal gangs in your country a.Argue as an intellectual if you are ,and not just copying
 
1. Since you talk of intellectual capacity, analysis etc. May i ask what kind of intelligence you have that makes you talk to me implying that i'm Burundian?
2. The point i made was that Burundi gov didn't kill this man, just like people assassinated in western jails are not killed by the goverments there. What makes you think it was the gov of Burundi that killed him? To what end would a gov kill someone who it already has in its custody? I'd ask you to argue as an intellectual before you accuse me of not doing so.
 
I guess he is confused with the difference between INTERAHAMWES & IMBONERAKURE anyway, what is your point? Bihozagara wasn't accused of spying? bruised face proves he was severely tortured!
 
I guess he is confused with the difference between INTERAHAMWES & IMBONERAKURE anyway, what is your point? Bihozagara wasn't accused of spying? bruised face proves he was severely tortured!
1. who denied the reasons as to why he was arrested?
2. If he was important to Rwanda, why didn't rwanda send its officials to visit him in jail?
 
Nimeshawahi kumuuliza mchambawima1 kwamba, kwa nini mtu akiuawa iwe Burundi au Rwanda anakuwa wa kwanza kufahamu na kurusha mitandaoni ? Kuna nini kumuhusu huyu mtu ? Mimi nahisi yeye ndio anaetekeleza haya mauaji au mabaya yoyote yanayotokea.

Ndugu yangu huyu jamaa yuko kazini kwa hiyo inambidi awahi kurusha propaganda za Kigali katika masuala yote ambayo kigali imecheza faulo ili propaganda hizo zifunike ukweli. Maswali ya kujiuliza ni:

1. Alipochinjwa mpinzani Andre kagwa rwisereka, serikali ya Rwanda ilikataa kuruhusu ndugu zake wasafirishe mwili nje kwa ajili ya independent autopsy, wakidai eti itaingilia usalama wa taifa la rwanda!!! Hivi inaingia akilini kweli? Kwani ndugu ni wa serikali? Serikali ililazimisha azikwe hivyo hivyo kwa autopsy ambayo ndugu zake hawakubaliani nayo chini ya mtutu!
2. Alipouawa Seth sendashonga nchini Kenya mbona hawakutaka mwili urudishwe Rwanda wafanye autopsy?
3. Alipouawa Theogene turatsinze nchini mozambique mbona hawakutaka mwili urudishwe Rwanda wafanye autopsy?
4. Alipouawa Charles Ingabire nchini Uganda mbona hawakutaka mwili urudishwe Rwanda wafanye autopsy?
5. Alipouawa Patrick Karegeya nchini South Africa mbona hawakutaka mwili urudishwe Rwanda ili wafanye autopsy?
6. Alipouawa Theoneste Lizinde nchini Kenya mbona hawakutaka mwili urudishwe Rwanda ili wafanye autopsy?
7. Alipouawa Augustin Bugirimfura nchini Kenya mbona hawakutaka mwili urudishwe Rwanda ili wafanye autopsy?

Je hawa wote hawakuwa wanyarwanda kama alivyo balozi Bihozagara? Ukweli ni kuwa Rwanda inajua exactly nini kimemuua balozi haya ni maigizo tu. Haiwezekani serikali iliyokataa kumpa passport BALOZI wake mwenyewe KWA MIAKA SITA, ndio leo iwe ina uchungu sana naye kiasi cha kurudisha mwili nyumbani na kufanya autopsy ya serikali kana kwamba alikuwa Burundi kikazi! Serikali ya kawaida inayojiheshimu ingesusa kwa sababu mhusika kwa miaka sita alikuwa anakaa nchi ya watu kama mkimbizi haramu akiitia aibu Rwanda kuwa hakukaliki! Wanajifanya kufanya autopsy wakati Burundi imeshasema kilichomuua ni kitu gani.

swali kwa mchambawima1: unakumbuka kuwa aliyekuwa balozi wenu nchini Netherlands ndugu Jean pierre bizimana alikimbia kazi yake na kuomba ukimbizi wa kisiasa nchini Ireland? Na sababu aliyotoa ni kuhofia kuuawa baada ya kukataa amri kutoka Kigali ya kutumia hadhi yake ya kibalozi kufanikisha mauaji ya Victoire Ingabire wakati Ingabire alipotangaza kutaka kurudi Rwanda kuwania urais?
Je unakumbuka kuwa ALIPEWA! Je kwa nini Rwanda hailalamiki kuwa kitendo cha Ireland kutoa hadhi hiyo ya ukimbizi wa kisiasa inayotambulika na UN kwa sababu kama hiyo ya kutaka kumuua Ingabire akiwa Netherlands ni uchochezi?

cc: Sethshalom
 
1. who denied the reasons as to why he was arrested?
2. If he was important to Rwanda, why didn't rwanda send its officials to visit him in jail?
tried several times but the CRIMINALS in Bujumbura refused, they refused even his own family! they are total losers... time will tell!
 
tried several times but the CRIMINALS in Bujumbura refused, they refused even his own family! they are total losers... time will tell!
Can you mention one Gov official, just one!
 
If Rwanda is your best role model,carry on.But your arguments are too cheap and show how lazy you are when it comes to thinking
 
If Rwanda is your best role model,carry on.But your arguments are too cheap and show how lazy you are when it comes to thinking
Sometimes you need to think big before speeking! No body will outsmart you if you don't insult your opponents !
 
lol... and your fellow IMBONERAKURE jMali approves these lies? no doubt!
 
Duh ! Kazi ya propaganda imekushinda. Alikuwa anafanya biashara gani ?
according to the thugs in Bujumbura, Bihozagara(RIP) was trading your Government killing secrets! IOW SPYING!
 
Rwanda imeonesha ni jinsi gani imeshiriki katika mauaji ya huyo Balozi.Hivi hiyo familia ya balozi yenyewe haishitukii huo upendo wa ghafla wa serikali ya Rwanda kwa marehemu? Rwanda wanataka kutumia mauaji ya balozi kuomba sympathy ya international community...bahati nzuri hata sisi back benchers tushasitukia mchezo wa rwanda ndani ya Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…