Automatic egg incubator

Automatic egg incubator

ELIASANTE

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
330
Reaction score
67
MWAKALINGA GENERAL ENTERPRISES.

Tunaunda mashine imara na bora za kutotoleshea mayai.

Warrant ya miezi sita mpaka mwaka.

Tunamhudumia mteja kwa kumpatia elimu ya kuitumia,na tunamfwatilia anapoitumia.

Hatuna tabia za kutotoa huduma kwa mteja mara baada ya mauziano kama wafanyavyo wengine kutopokea simu wakipigiwa ili kupata msaada.

Bei za mashine za kutotoleshea mayai za umeme, Automatic.

1. Mayai 60 - Tsh.300,000.
2. Mayai 120 - Tsh.600,000.
3. Mayai 150 - Tsh.750,000.
4. Mayai 200 - Tsh.750,000.
5. Mayai 264 - Tsh.850,000.
6. Mayai 352 - Tsh.950,000.
7. Mayai 440 - Tsh.1,300,000.
8. Mayai 528 - Tsh.1,600,000.
9. Mayai 704 - Tsh.1,800,000.
10. Mayai 880,000 - Tsh.2,000,000.
11. Mayai 1056 - Tsh.2,300,000.

Mashine zote ni automatic.

Unaweza kuja mwenyewe ofisini kuweka oda na kulipia advance.

Au unaweza kutuma kwa njia za malipo ya simu, au bank.

Mashine zingine zinazotengenezwa ni za mafuta ya taa na solar.

Kwa mawasiliano, piga namba 0784 413 039 (Hii inatumika pia Whatsapp), au 0767 413 039 au 0767 413 039.

Pia waweza kutuandikia,S.L.P 90057, Magomeni,Dar es salaam.

E mail : mwakalingaeli@gmail.com

Facebook page//mwakalinga general enterprises//.

Tupo Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom