Rejea kichwa tajwa.
Ninatafuta audio moja hivi ambayo ni kama stori iliyokuw ktk mfumo wa shairi inayoelezea mahusiano y mdd n mkk ambako yanapoishia ni kuwa dada anaambukizwa ugonjwa wa ukimwi.
Nnaomba kwa atakayokuwa nayo aiattach kweny reply au km anaye ifahamu jina lke aniandikie pia.