1 Timotheo 2:9.
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; SI KWA KUSUKA NYWELE, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani:
Nakazia tena
Si kwa kusuka nywele,
Nipeni mwongozo na maana ya hili fungu kwanini mnasuka
Wagalatia 6:5
Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe.
Mwenye siko na asikie
Nimemaliza naangalia na pembeni.