cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 649
Usikuruoe soma kwa makini na ujiongeze nimemaanisha ziwe mchanganyiko tia 5,ooo yako nenda na mwenye kutoa 1o,ooo atoeSasa kama natoa 5000 utataka nitoe shilingi ngapi!
Tumelipigia kelele sana hili swala lakini hakuna hatua inayochukuliwa,sijui BOT wanafanya kazi gani kucontrol wizi huu kwa wananchi,Mabenki yote wanaweka Ths 5000 tu ili ukitoa 1m ulambwe karibia 4000 ambao ni wizi wa mchana kweupe.Habari,
Limezuka deal kwa mabenki kuweka noti za 5,ooo kwa wingi ili watu watoe hela mara nyingi na benki kuvuna hela ya kutolea.
Hii siyo sawa kwani noti za 1o,ooo ikiwa unatoa 1mln utatoa mara tatu tu lakini noti za 5,ooo utatoa mara 5
Zikiwa 5000 tupu huwezi toa laki 4. Limit inakuwa 200,000.Sasa kama umeomba itoke laki4 , si itatoka laki4 iwe ya elfu5 au elfu10
Habari,
Limezuka deal kwa mabenki kuweka noti za 5,ooo kwa wingi ili watu watoe hela mara nyingi na benki kuvuna hela ya kutolea.
Hii siyo sawa kwani noti za 1o,ooo ikiwa unatoa 1mln utatoa mara tatu tu lakini noti za 5,ooo utatoa mara 5
Kwa iyo una confim laki 4 wao wanatoa laki 2?Zikiwa 5000 tupu huwezi toa laki 4. Limit inakuwa 200,000.
Nazungumzia CRDB ambayo nina uzoefu nayo
Limit ya kutoa fedha kwenye ATM inawekwa kwa idadi ya noti.Hivyo kama unataka utoe laki 4 maana yake ATM itakupatia noti 40 za elfu 10 ambazo utakuta ndio kiwango cha mwisho cha juu,Sasa ikiwa zimewekwa noti za elfu 5 tano tupu inamaanisha idadi hiyo ya fedha itahitaji noti 80 za elfu 5 tano idadi ya noti ambayo huwezi pata kwa kuwa ni juu ya limit .Kwa iyo una confim laki 4 wao wanatoa laki 2?
inamaana option ya laki 4 haitakuwepo kama kuna elfu tanotano tuuLimit ya kutoa fedha kwenye ATM inawekwa kwa idadi ya noti.Hivyo kama unataka utoe laki 4 maana yake ATM itakupatia noti 40 za elfu 10 ambazo utakuta ndio kiwango cha mwisho cha juu,Sasa ikiwa zimewekwa noti za elfu 5 tano tupu inamaanisha idadi hiyo ya fedha itahitaji noti 80 za elfu 5 tano idadi ya noti ambayo huwezi pata kwa kuwa ni juu ya limit .
hahaa hata zikishort nani atakuaminiUmewahi kutoa pesa atm halafu ukaanza kuzihesabu kuhakikisha kama ziko sawa?
Mkuu Kukiwa na Noti za 5000 Option ya laki 4 inakuwa haipo Max inakuwa laki 2.inamaana option ya laki 4 haitakuwepo kama kuna elfu tanotano tuu
yaani hukuweza kwenda ulikokuwa unaenda baada ya kupewa 5000?Hata ndani washakua na haka katabia kuna siku nimeenda kuchukua nilizotumiwa kwa western Union nilipewa 5000 nikawaza naendaje nilikokua naenda