Paulinho huyu jamaa ni bonge la usajili msimu huu. Kaja kuongeza vitu pale kati. Physics, anakaba, anafunga anashambulia. Kwa kifupi tu huyu jamaa alichelewa sana kuja camp nou.
Hata cku moja cwezi muita mchezaji yoyote duniani Eti MUNGU.
Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna kinachofanananae.
Messi ni kipaji__kwa sasa hakujatokea kiumbe like King Messi tokea soka lianzishwe rasmi hapa ulimwenguni. Nitapata cha kuwahadisia wanangu kwamba "kulikuwa na mchawi wa soka duniani aitwae King Messi. From Rosario central pembezini mwa jiji la Buenos Aires nchini Argentina" ni hayo tu. Sirudi tena