Mungu aliumba kila kitu kwa ubora wake.Swala la kupata matatizo kwasababu hujazingatia ni jambo la mbeleni
Hoja yangu imejikita kuhoji mwanzo kabisa wakati Mungu anaumba ulimwengu
Aliumba bila kujua kuwa ulimwengu huu una imperfections za kuweza kuruhusu mabaya?
Kama jibu ni hapana, basi ubaya unaofanyika saizi ni Mungu alitaka uwepo kwasababu aliuona mwanzo kuwa utaweza kufanyika lakini akauacha (kwasababu alikuwa na uwezo wa kuzuia)
Kwa hiyo kila kitu ambacho kinafanyika hapa kimepewa kibali na Mungu na Binadamu hawezi kupewa lawama, kwasababu Mungu ndio ametaka iwe hivyo.
Na kwasababu ametaka iwe hivyo, ikiwemo kuruhusu mabaya basi hawezi kuwa Mungu mwema au mwenye upendo wote kwa viumbe wake
Imperfections zinazojadiliwa hapa ni ulimwengu kuwa na uwezekano wa kuruhusu mabaya kuwepoMungu aliumba kila kitu kwa ubora wake.
Ni kwa sababu zipi unasema kuna imperfections?
Hizo imperfections zimesabishwa na nani?
Je, anataka dunia ingekuwa vipi ili uone haina kasoro?
Nimekuomba uweke ushahidi siyo mbinu, inabidi tuanze kuelezana Sasa nini maana ya Ushahidi.Nimeonesha mbinu wanazotumia kupredict earthquakes...
Ukiangalia nyota usiku, baadhi yake ziko mamilioni ya light years away. '1 million light years away' inamaana kufika huko kwa speed ya mwanga, utatumia miaka 1mil. Na ili uone kitu inamaana mwanga unasafiri kutoka ktk object mpaka machon kwako. Ivo kuona kitu kilichopo 1mil light years away, inamaana unakiona kilivokua miaka hio iliopita. Kwahio jua nalo unapoliangalia unaliona dakika 8 zilizopita...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelezea Roho ni nini, soma vizuri utaona. Kama hamjajiandaa hii mijadala achaneni nayo.Nimeshaelezea nini maana ya roho.
Kama Ina walakini leta ya kwako utakayo hisi imekamilika.
Unaponiita kijana? Je wafahamu lika langu?
Usitumie kiswahili kingi kama janja ya Nyani unachokisoa ni nini Sasa?
Je, Human Cloning haiwezekani au haijafanyika?
Je, Wanyama wengine hawafanyiwi?
Leta maswali yako, nami nitayajibu
Karibu
Bado swali langu hujajibu. Hivi huwa unatoa hivi maana ya vitu unavyo vijua ? Ngoja nikusaidie, waulize wenye kuamini au kujua roho wakupe maana.Wewe usipofata fikra zako, unafuata fikra za nani?
Uhalisia ndio huu yaani hakuna roho.
Roho ni myth iliyoanza kutumika kipindi Cha maendeleo duni ya kisayansi kwenye jamii.
Kama unabisha roho ni nini?
Taja sifa za roho?
Nini tofauti ya pumzi na roho.
View attachment 2530461
Nimekuomba uweke ushahidi siyo mbinu, inabidi tuanze kuelezana Sasa nini maana ya Ushahidi.
Kijana kila unachokiweka kinazua mjadala. Jikoiye kwenye hoja na uweke kila kitu mahala pake. Mifano unayo toa haina maana sababu si mahala pake.
Mungu hatetewi na mwanadamu, na sio Mungu aliyewadhibu. Wameadhibiwa na dhambi zao.We jamaa ni comedian sana
Kwa hiyo Mungu hakuridhishwa na kazi za uinjinia na kwamba kitendo hicho kwake kilikuwa kama ni dhambi kubwa sana ambayo adhabu yake ni kuangamiza waelfu ya watu (ambao sio wajenzi wa hizo nyumba) ikiwemo na watoto wadogo?
Is this how you choose to defend your God?
Wapi kwenye swali langu limeuliza Kuna sehemu umemtaja shetani?Wapi kwenye maelezo yangu nimemtaja shetani?
Bado hujajibu maswali ya post # 1021. Nasuburi majibu.Imperfections zinazojadiliwa hapa ni ulimwengu kuwa na uwezekano wa kuruhusu mabaya kuwepo
Mungu angeumba ulimwengu ambao ni perfect basi mabaya yasingewezekana kwa namna yeyote ile
Hilo liko wazi. Zingejengwa nyumba imara, maafa yasingeqakuta.Watoto wadogo waliokufa nao ni sehemu ya kazi dhaifu za mikono ya binadamu?
Hiyo nothing ndo usikute ndo Mungu mwenyewe sasa....wewe hata ukiamini tumetoka kwenye nothing.....hiyo nguvu iliyosababisha hiyo nothing ikakutoa wewe ndo Mungu mwenyewe...Ushahidi wa Mungu kuumba dunia na vingine uko wapi kama yeye alitoka from nothing kwanini sisi isiwe ivo?
Binadamu haongozwi na insticts kwa sababu ya intelligence yake. The more intelligent the creature is the lesser they rely on instincts to survive and fend for themselves. Nimetolea mfano wa orca hapo juu ambae ni intelligent creature. Wao pia wanafundishana, mama anafundisha watoto wake ndiomaana utakuta kila orca pods wana tabia zao tofaut. Kwa ulimwengu wao tunaweza kusema na wao wana 'morals'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo ulipinga Humans kuongozwa na na Instincts.
Tukakupa mifano kibao inayoonyesha Humans kwa sababu wapo kwenye kundi la Wanyama hana exception.
Sasa hivi unaruka ruka na kusema Ina maana Moja kitu ambacho si sahihi.
Kuna mawili either hujui unachobishania au hujui tofauti ya maana ya hizo mbili.
View attachment 2530363View attachment 2530364
Eti sio kwamba anapenda..Naam. Hoja yako Iko wapi ? Weka hoja ijadiliwe.
Suala la kubaka, kuuwa, na mengine katika maovu ameruhusu yatokee ila siyo kwamba anapenda. Allah ana mambo matatu katika ufanyaji wa mambo :
1. Mahaba(Love) Kuna vitu ana vipenda.
2. Matakwa (Want)
3. Mashia (Will)
Allah hapendi watu wateseke au wapotee au wafanye uovu, ila ameruhusu hivyo vyote vitokee kwa Matakwa yake. Na alitaka kitu kinakuwa hata kama hakipendi.
Suala la watu kufanya uovu ameruhusu utokee na ametoa onyo kwa watakao fanya wataadhibiwa sababu ni uovu, na Mimi na wewe tumepewa akili au tumeumbwa katika umbile la utambuzi wa zuri na baya. Kwa hiyo usifanye uovu kizembe Kisha ukabweteka ukasema si Allah ametaka, ukasahau ya kuwa muda huo huo amekupa akili na amekupa uwezo wa kuyaepuka mambo hayo.
Eti sio kwamba anapenda..
Huyo mungu wako mbona ana uwezo mdogo hivyo kama mwanadamu?
Yaani mungu anaebadili mawazo na asie in control of things,just like us humans!
Yaani nyie wanadamu,mumeamua kujifikiria mwanadamu kama nyie mka-project those charcteristics mkajijengea mwanadamu fictional mkampa jina Mungu
Wapumbavu sana nyie,hasa wewe...
Eti "sio kama anapenda"....which shows he is not in control of anything!Useless kama nilivyo mimi na wewe!
Ushahidi ulio utoa bado unaonyesha hakuna aijuaye kesho. Athari ya Tetemeko la ardhi ilianza kuonekana kama walivyo andika, wakatoa tahadhari juu ya uwepo wa Tetemeko kubwa watu wajiandae.Japan Earthquake & Tsunami of 2011: Facts and Information
The Great Tohoku earthquake destroyed more than 100,000 buildings and triggered a nuclear disaster.www.livescience.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la kujua kesho hayo ni mambo ya time. Kisayansi we still have a long way to go to understand how time works. Kwahio hatuez kuona kesho au kurudi jana na kurekebisha makosa.Ushahidi ulio utoa bado unaonyesha hakuna aijuaye kesho. Athari ya Tetemeko la ardhi ilianza kuonekana kama walivyo andika, wakatoa tahadhari juu ya uwepo wa Tetemeko kubwa watu wajiandae.
Kwahiyo bado hakuna aijuaye kesho, hata wewe ulipo huna uhakika wa asilimia zote wa kuiona kesho, na ukiipata kesho ujue hukuwa ametaka Allah. Bali sisi uhalisia ni kuwa tuna matarajio.
Waliohusika na dhambi ndio waliokufa?Mungu hatetewi na mwanadamu, na sio Mungu aliyewadhibu. Wameadhibiwa na dhambi zao.
Sio kazi ya Mungu kukuzuia kutenda uovu, bali ni akili zako kuzingatia makatazo.
Si kazi ya Mungu kukuzuia usinywe sumu, la hasha. Ukinywa hakika utakufa, na si Mungu aliyekuua, bali ni sumu.
Sio kazi ya Mungu kukuzuia kuchoma moto nyumba yako, la hasha. Nyumba itashika moto na kusabisha maafa, na aliyesabisha maafa sio Mungu bali ni wewe.
Mungu hahusiki na yotokanayo na ouvu wa binadamu kwani bado hajatoa hukumu.
Nilijua lile swali umeniuliza mimiWapi kwenye swali langu limeuliza Kuna sehemu umemtaja shetani?