Ndio maana sikutaka kumjibu mkuu
Nashukuru umedadavua vizuri zaidi
Mwambie hata mtoto akiwa mdogo kila kitu hupeleka mdomoni.
Muulize na hiyo aiite nini?
Hakuna mmea unao jiotesha wenyewe.Dah yani unabishia uhalisia kabisa...
Wanafanya 'ulimaji' wa mvua. Yan kama ww ukute mimea ya porini inayojiotesha yenyew ila ww sasa uilime kwenye shamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo uliyasema wewe. Soma aya ulizo weka na linganisha na kile ulichokinukuu awali. Je ni sawa. Muwe mnasoma vijana, mnatupa tabu sana kuwaelewesha aisee.
Umejuaje roho haipo ? Usikimbie swali. Yaani jambo ambalo hata maana yake huijui Bado unadai halipo.Hakuna Roho kabisa
Kama kitu hakipo basi hakina maelezo ya maana ila kama itakupendeza soma hapo chini:
Hujatoa maana ya Roho Bado unaruka ruka na kupoteza. Roho ni nini na umejuaje kama haipo ? Naweza kukupa kazi ukagoogle na huenda ukashindwa kuiweka hapa hiyo maana.Ni Imani/myth za watu tu kutokana na maendeleo duni ya sayansi kipindi Cha kale.
Nimekwambia Human Cloning Teknoloji/ science uhitaji manii ili kuundiwa kiumbe kingine.
Na hii sio kwa Humans tu, species nyingine zinafanya Asexual reproduction toka kitambo.
Seli yako Moja toka kwenye ngozi yako ya mwili unaweza kutengenezwa mtu mwingine mwenye phenotype na genotype kama wewe.
Sasa kama haya hufahamu nikuite jina gani maana unajifanya una elimu sana.
Shida yenu mnayoelezwa hamuyatafakari na mnayapima kwa akili zenu finyu pasi na kuzingatia.Ningependa Kutoa heshima kwa wakuu wawili ambao ni Scars na Kiranga kwa maana ni wajuvi kuliko Mimi.
Wazee wa logic ila nawaheshimu sana.
Wrudate kentushcy kwa uwezo wako.
Mtu anakwambia mapipa yanamwaga sijui na nani aliyepewa sifa ya kiumbe halafu Kuna maeneo ya Dunia hii hii mvua hunyesha kila baada ya miaka 5.
Unajiuliza Ina maana ana upendeleo?
Ukikumbuka sifa zake wanazotoa unabaki kucheka tu.
Thibitisha hilo.Japan wanaweza kupredict tetemeko... haya sasa... mambo ya kujua kesho ni mpaka tujue what time is, zile theory za time traveling bado naona ni bs
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu ni mnyama kama walivyo wanyama wengine ila high intelligence ndio siraha pekee aliyonayo.
Dini ya kuamini Mungu kuwa yupo.
Kutafakari na kupima kwa akili tofauti zake ni zipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida yenu mnayoelezwa hamuyatafakari na mnayapima kwa akili zenu finyu pasi na kuzingatia.
Rudia kusoma post yangu iliyopita nimeshakujibu labda useme hujaelewa.Umejuaje roho haipo ? Usikimbie swali. Yaani jambo ambalo hata maana yake huijui Bado unadai halipo.
Hujatoa maana ya Roho Bado unaruka ruka na kupoteza. Roho ni nini na umejuaje kama haipo ? Naweza kukupa kazi ukagoogle na huenda ukashindwa kuiweka hapa hiyo maana.
Suala la Human Cloning, nilikuomba uweke mfano wa Human Cloning iliyo fanyika na ika exist isiyo kuwa na shaka kabisa.
Haya kudai najifanya Nina Elimu sana unayasema wewe, ila Mimi nahoji kwa usahihi ndiyo tofauti yangu na nyinyi.
Mwanzo ulipinga Humans kuongozwa na na Instincts.Wewe ndugu Inaonekana mwalimu wako alipata shida sana.
unaposema high intelligence ya binadamu si ndicho hicho na mimi ninachosema, Mwanadamu anaongozwa na intelligence/Rationale ambayo inaongoza instincts zake na instincts zikiongozwa zinakuwa hulka (morals) hivyo binadamu anaongozwa na hulka, Wanyama hawana intelligence/Rationale kama binadamu hivyo wao wanaongozwa na instincts pekee.
Ni makosa kusema binadamu mwenye intelligence anaongozwa na instincts kama wanyama, binadamu akiongozwa.na insticts huyo anakuwa ni mtu asiyekuwa na intelligence na huyo ni mnyama mwenye umbo la mtu au kwa jina jingine ni mwehu na sisi hapa hatumzungumzii mwehu.
Note; Binadamu akiwa anaongozwa na instincts huyo ni kama mnyama au tutamuita mwehu. mwanadamu ni yule anayetawala instincts zake kupitia intelligence yake na hapo tunasema He is driven/governed by Morals (hulka).
It is a graveous err to say that human being who is invested with intelligence is driven/controlled by instincts like lesser animals which have meagre or virtually no intelligence. With intelligence all instincts in human being are nullified.
Binadamu haongozwi na insticts kwa sababu ya intelligence yake. The more intelligent the creature is the lesser they rely on instincts to survive and fend for themselves. Nimetolea mfano wa orca hapo juu ambae ni intelligent creature. Wao pia wanafundishana, mama anafundisha watoto wake ndiomaana utakuta kila orca pods wana tabia zao tofaut. Kwa ulimwengu wao tunaweza kusema na wao wana 'morals'.Hapa hatuzungumzii juu ya instinct ya mtoto mara anapozaliwa na kuanza kunyonya, hebu fikiria; mtoto huyo huyo akimuacha atambae anaweza kukuta kinyesi chake chini na akala, sasa hapo utasemaje??. Umewahi kumuona
mtoto wa mbuzi akila kinyesi chake??
Achana na mambo ya watoto hapa ambao hata kujichamba hawawezi, tuzungumzie mambo ya kikubwa mimi na wewe, je Binadamu anaongozwa na instinct kama anavyoongozwa mbuzi??,
Binadamu anaongozwa na morals yaani instincts zinapokuwa governed katika misingi iliyokubalika na binadamu wote hizo ndio zinaitwa morals, kama instincts kwa binadamu zisipozibitiwa binadamu atakuwa ni the Worst of all animals on earth, mfano uliona wapi mbuzi wakifanya Ushoga licha ya kuwa wanaongozwa na instincts ??kamwe huwezi kuona mbuzi wakifanya ushoga lakini binadamu akiwa driven by ungoverned instincts, kulingana na intelligence yake, atafanya mambo ya kutisha na ya ajabu kama ushoga nk.
Hivyo ninaposema binadamu haongozwi na instincts maana yangu ni hiyo kwamba binadamu anaongozwa na morals, ni morals ndizo; governed instict and intelligence.
Ukimuona nyati anamgombelezea nduguye ile kwake sio huruma bali ni instinct lakini ukimuona mtu anamgombelezea mwenzake hiyo ni huruma (governed instinct with intelligence) au inaitwa hulka. Instincts ni silika na morals ni hulka.
Note: Binadamu anaongozwa na hulka na wanyama wanaongozwa na silka and that is a distinguishing feature between animals and human beings.
Nmesoma mstar unasema kua mtume aliugawa mwezi.Hayo uliyasema wewe. Soma aya ulizo weka na linganisha na kile ulichokinukuu awali. Je ni sawa. Muwe mnasoma vijana, mnatupa tabu sana kuwaelewesha aisee.
Sure, hua wapo viumbe wanaotesha... ila sio kwa makusudi.Hakuna mmea unao jiotesha wenyewe.
Duh. Kupredict earthquake wana tsunami hujui kama inawezekana? Common way wajapan wanatumia ni mabadiliko ktk sea level na magnetic fields, unaweza kufore cast earthquakes.Thibitisha hilo.
Kila navyo jadiliana na nyinyi ndiyo mnazidi kuthibitisha ya kuwa ni mashabiki wa haya mambo, wala hamuhoji na kuchunguza. Hapa unaingiza tena utoto mwingine wa Time travelling.
Walivyo predict ikawaje. Naomba tuwekee ushahidi.
Kwa definition hio hata tembo wana morals basi. Mbwa pia na wanyama wengineo wanaoishi social life...Mwanzo ulipinga Humans kuongozwa na na Instincts.
Tukakupa mifano kibao inayoonyesha Humans kwa sababu wapo kwenye kundi la Wanyama hana exception.
Sasa hivi unaruka ruka na kusema Ina maana Moja kitu ambacho si sahihi.
Kuna mawili either hujui unachobishania au hujui tofauti ya maana ya hizo mbili.
View attachment 2530363View attachment 2530364
Hio dini inaelezea roho kama nn?Dini ya kuamini Mungu kuwa yupo.
Kutafakari kwa kuzingatia uhalisia.Kutafakari na kupima kwa akili tofauti zake ni zipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana kama hujibu maswali ninayo kuuliza. Haina maana ya mjadala. Nimekuomba uthibitisho wa hao Wajapani unaleta stori.Duh. Kupredict earthquake wana tsunami hujui kama inawezekana? Common way wajapan wanatumia ni mabadiliko ktk sea level na magnetic fields, unaweza kufore cast earthquakes.
Kuhusu time traveling unasema ni utoto? Yea theory za time traveling (issue ya ww kwenda past au future) hata mm nikizifuatilia siwez kuzielewa, kwhy namashaka nazo makubwa mno. Lakini kuona kitu kilicho past inawezekana na pia ww huenda kila siku unaona kitu cha miaka iliopita ila hujui tu...
Sent using Jamii Forums mobile app