Maana ya mvua nishaitoa huko mwanzo. Kadhalika na vigezo vyake.Ukisema inajulikana basi unaikataa kwa vigezo Gani kuwa hiyo sio mvua?
Ndiyo nikakuuliza utupe maana ya mvua?
Hakuna roho kwenye mwili wa binadamu.
Human Cloning unaifahamu?
Base yote ya Maisha ulimwengu ni Carbon, hata binadamu ni carbon based living organisms.
Shida yenu hamsomi, soma nilicho muuliza na nimempa kazi akafute ule uongo alio uandika huko mwanzo. Sababu hizi aya alizo ziweka zinaonyesha uongo wake wa wazi. Sababu mpaka muda hajajibu nilichomjibu kuhusu hizo aya, akirudi mwambie akutag.Hapa naona umetumia mkono wake ajipige makofi mwenyewe.
Umeandika mambo mengi sana, kwanza hongera kwa namna uliyotaka kutwist kupata hoja yako.Ni Binadamu tu ndiye anaweza kuwa chaotic or disciplined na sio vitu vingine ambavyo ni governed by natural laws, Who then put the laws into play??-- that is the question you need to ask yourself.
Angalia, thermal nuclear Bomb katika intermediate stage kuna Hydrogen gas inalipuliwa na neutrons kutoka kwenye stage ya kwanza ( atomic bomb), hiyo hdrogen gas ina ji-fuse (fussion reaction) kutengeneza Helium gas ambapo joto kubwa sana na nuru pamoja na radiations hutolewa, mambo yote hayo yanatokea kwakuwa yamepangwa kitaalamu na nuclear scientists, tunaweza kusema ni; a conscious plan of conscious minded people to make a disciplinary machine in order to excute a desired purpose/ goal, sasa muundo huo huo wa stage hiyo ya thermonuclear bomb ndio muundo unaofanyika kwenye jua, Jua ni fussion reaction ya Hydrogen gas kuwa Helium gas, hiyo ni Nuclear reaction ndio maana tunapata the desired goals ya joto na mwanga wa jua hapa duniani, sasa kama huwezi kusema hiyo reaction katika thermonuclear bomb ni Chaotic utawezaje kusema the fussion reaction katika jua kitu ni chaotic?? ,Kama jambo limepangwa na wanasayansi kitaalamu lifanye kazi kusudiwa in disciplines tunaliita a disciplined thimg bila shaka mtu mwenye akili chaotic ndiye anayeweza kusema jua ni chaotic reaction ya hydrogen. ,
Kumbuka jua limekuwepo hata kabla ya sayansi ya nuclear na sayansi zingine kuwepoo na ndio maana nasema jua ni lazima limeumbwa na A conscious Supernatural being ili jua litende the non chaotic desired goals ambazo naamini unazijua, na ipo mifano hai lukuki ya non chaotic objects with desired goals ambazo ni mtu kichaa tu aliyejitoa akili atapinga kwamba hizo Objects hazikuumbwa.
Kumbuka ni binadamu ndiye ameumbwa ama achague chaotic au disciplined life na sio vitu vingine ambavyo uwepo wao ni governed by natural laws or instincts put in place by Supernatural Being namely God.
Logic haijawahi kuwa na outcome ya uongoUnaleta reasoning ya logic, syllogism ina makosa makubwa mno..! Huwezi draw conclusion kwa logic siyo kila kitu kinafuata huo mtririko wako wa logic.
Umeenda bank kukopa ukiwa na nyumba ila umesahau hati, hukupewa mkopo sababu hukutoa ushahidi wa nyumba ila haimanishi huna nyumba.
Chukua hii mifano miwili
Binadamu wote lazima wanakufa.
John ni binadamu hivyo John atakufa.
Mbwa wanatumika katika ulinzi.
Wamasai wanatumika katika ulinzi.
Kwahiyo wamasai nao ni mbwa...?
UKWELI siyo lasima uthibitike kwa logic kama unavyotaka, Imani ya Kikristo ambayo ni moja kati ya imani katika kundi la Monotheism (believers in one God) wao uthibitisho wa Mungu wao hauthibitiki kwa logic tu kuna msururu wa vitu katika kutaka kuthibitisha hilo.
Kuna matukio ambayo historia inathibitisha kutokea kwake, mfano uwepo wa mtu aliyezaliwa kimuujiza na kuishi duniani kwa miaka 33. Si muda mrefu sana only 2023 yrs ago. Lakini pia kuna archeological and historical facts nyingi mno zinazoelezea taarifa zinazoelezea habari za MUNGU. Make nyingine utasema ni miujiza ya uongo.
Kwanini kuwe na imani nyingi kama imani husema yale yaliyo kweli?Sijasema kuhusu kukufikisha kwenye uongo, Mungu anayeongelewa ni True God (Mungu mmoja). Imani usichanye zipo imani nyingi. Imani ya Mungu mmoja inajipambanua vyema.
Umeyapata kutoka kwenye mafundisho ya dini yakoUnadhani haya nayo yasema na kuandika nimepata shuleni..? Najua kwa kuwa tofauti na wewe, na hakika si kwa uwezo wala utashi wangu maana najibu si kwa ufahamu wangu pekee .
Hakuna roho ni jambo la kufikirika tu.Maana ya mvua nishaitoa huko mwanzo. Kadhalika na vigezo vyake.
Roho ni nini ? Maana nyinyi kawaida yenu kujibu au kujenga hoja pasi na Elimu. Ndiyo maana huwa mnakosea sana katika kujenga hoja, kuuliza maswali na kutafuta ukweli. Umejuaje hakuna Roho kwenye mwili.
Siifahamu nipe faida kuhusu jambo hilo la Human Cloning.
Unamaanisha unaposema Carbon based living Organisms.
Binadamu wote wanafata Natural instinct kama wanyama wengine wanavyofanya maana Binadamu Hana uspecial wowote ni mnyama sawa na Mbuzi tu.
Uwe unajibu maswali unayoulizwa. Roho ni nini ?Hakuna roho ni jambo la kufikirika tu.
Ni Imani na hakuna uthibitisho wowote uwe wa kimazingira Wala kisayansi.
Na hii inapingwa zaidi na cloning technology ilivyozuidi kukua, kwamba single cell ya ngozi yako Ina taarifa zote kuhusu mwili wako na inaweza developed mpaka ukatokea your identical with the same genotype and phenotype.
Kwa mtazamo wakoPamoja na mengine yote uliyoyaandika hilo hapo ndilo limenifanya nijue uwezo wazo kiakili.
Ushauri wangu; Unapaswa ukae ujifunze kwa kina ndipo uingie katika ulingo wa hoja.
Hakuna Roho kabisaUwe unajibu maswali unayoulizwa. Roho ni nini ?
Type mfano ila usihusishe mbegu za uzazi katika Hilo zoezi, mbegu za uzazi zikihusika ujue hapo hakuna shughuli.
Kingine utoe mfano hata mmoja wa Human Cloning iliyo fanyika.
Japan wanaweza kupredict tetemeko... haya sasa... mambo ya kujua kesho ni mpaka tujue what time is, zile theory za time traveling bado naona ni bsUlijia kama Uturuki kutatokea Tetemeko la ardhi ? Au unaijua kesho yako ? Ukitaka kujua ukomo wa akili ya mwanadamu waangalie Wanasayansi wanavyofikia hitimisho katika mambo Yao. Ushawahi kujiuliza kwanini kwenye Sayansi au Scientific Calculation zina "Assumptions". Kwanini kwenye Projectile Motion Calculation Kuna Assumptions, kwenye Universal Law Of Gravitational Kuna Assumption, kwenye Thermodynamics na kwingine ? Maana yake akili imekomea pale.
Sisi hatujilimit bali hayo ni maumbile ili kuepuka uongo na kidanganya watu.
Dah yani unabishia uhalisia kabisa...Mawingu ya asili na haya ya kutengeneza Yana usawa kiasi gani ?
Ukiona unaweza kuzuia mvua ujue hiyo siyo mvua.
Kwahio mtume aliugawa mwezi vipande viwili?Sasa soma katika aya Kisha urudi katika yale uliyo yaandika uniambie Yana fanana ? Wewe ulisema Mtume alishika huo mwezi. Sasa huu mtindo ndiyo nitakuwa napenda nao Sasa hivi, yaani nawaachia mjielezee ili mzidi kuonekana mlivyo waongo na msio fatilia mambo. Yaani mnafanya khiyana mpaka kwenye kunukuu habari.
Sasa nakupa kazi nenda kafute ule uongo ulio uandika.
Kwa mtazamo wako
Ila huu ndio ukweli mchungu.
Homo Sapiens (Binadamu) ni ndio species tuliopo na kingdom Mammalia.
Ambao sifa mojawapo ni kunyonyesha ikiwa ni kundi Moja na Mbuzi, Ng'ombe na Panya.
Binadamu kinachomtofautisha na wengineo ni uwezo mkubwa wa akili.
Lakini imegundulika Pweza ni mmoja wa non primates wenye uwezo mkubwa wa akili.
Mbwa ana uwezo wa akili sawasawa na mtoto wa miaka mitano(5).
Hivyo binadamu sio pekee walio evolve na hiki kitu.
Kifupi unahitaji ujifunze mengi kabla hujaja na mtizamo mmoja ulioandikwa kwenye zama za ujinga kuwa ndio kweli pekee.
Kuamini katika higher power nayo ni kama instinct... inategemea tu instinct utadefine vpEti binadamu anaendeshwa na instinct kama mbuzi??-- hivi nikikuambia akili yako kwa mambo uliyoyaandika ni sawa na akili ya mbuzi utakubali ??
Dolphins na nyangumi pia wana wanauwezo mkubwa wa kufikiri na kutunza kumbukumbu, zaid hata ya mbwa. Wengine wanasema kua Dolphins wanaakili kuliko hata chimps...Kwa mtazamo wako
Ila huu ndio ukweli mchungu.
Homo Sapiens (Binadamu) ni ndio species tuliopo na kingdom Mammalia.
Ambao sifa mojawapo ni kunyonyesha ikiwa ni kundi Moja na Mbuzi, Ng'ombe na Panya.
Binadamu kinachomtofautisha na wengineo ni uwezo mkubwa wa akili.
Lakini imegundulika Pweza ni mmoja wa non primates wenye uwezo mkubwa wa akili.
Mbwa ana uwezo wa akili sawasawa na mtoto wa miaka mitano(5).
Hivyo binadamu sio pekee walio evolve na hiki kitu.
Kifupi unahitaji ujifunze mengi kabla hujaja na mtizamo mmoja ulioandikwa kwenye zama za ujinga kuwa ndio kweli pekee.
Ndio maana sikutaka kumjibu mkuuKuamini katika higher power nayo ni kama instinct... inategemea tu instinct utadefine vp
Kuna anaefundisha mtoto mchanga kunyonya? Hio nayo ni instinct... vitu kama uoga wa nyoka ni moja kati ya human instinct (na tembo wana huu uoga ie. Extreme fear of snakes), fear, hunger, lust, care hizi zote ni instinct za binadamu, hakuna mtu anafundisha hivi vitu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yea. Every other creature is driven by instincts. Sema ni ile tu sie binadamu tumeevolve higher intelligence kwahio si kila kitu tunafanya kwa instinct.Ndio maana sikutaka kumjibu mkuu
Nashukuru umedadavua vizuri zaidi
Mwambie hata mtoto akiwa mdogo kila kitu hupeleka mdomoni.
Muulize na hiyo aiite nini?
Ningependa Kutoa heshima kwa wakuu wawili ambao ni Scars na Kiranga kwa maana ni wajuvi kuliko Mimi.Yea. Every other creature is driven by instincts. Sema ni ile tu sie binadamu tumeevolve higher intelligence kwahio si kila kitu tunafanya kwa instinct.
Orcas (killer whales) pia nao hata kuhunt hawafanyi kwa instincts. Wanatambua kiumbe gan wanadeal nae. Wanaplot mipango namna ya kumuwinda kisha wanafanya, it's very interesting to see.
Sent using Jamii Forums mobile app