Ngoja nikujibu swali hili kwanza, Kisha tunaiweka kiporo unijibu maswali yangu. Baada ya hapo tutarudi hapa.Narudia tena Sayansi ni nini?
Maana bila uelewa wa pamoja inawezekana usielewe walichojaribu kukueleza waliopita.
Anha.. tuongelee dosari ktk kusupport uhai wa viumbe wa dunianSafi kabisa, dosari ya Dunia ipo wapi ? Je kila kilicho pinda mathalani kina dosari au ukamilifu ?
UV rays kutoka juani inatuongezea athari za kupata saratani ya ngozi, sio ukamilifu huo kwa viumbe wa dunia..
muda wowote kimombo kinaweza kukudondokea kikakuua, hakuna ukamilifu hapo
forest fires,
matetemeko
radi inaweza kukuchapa ikakuua
Jua limetengenezwa na sayansi kivip sasa ww? Hapa hatuko mahakamani, hatuongelei kila kitu literally. Most man-made things vimetengenezwa kwa uwezo wa sayansi... sasa unapoipinga sayansi na kusema sayansi ni theory tu skuelewNikikuuliza swali, onyesha Jua limetengenezwa vipi na Sayansi au Sayandi Ina nafasi gani katika Sayansi ?
Kwenye ulimwengu uliojaa dhiki, dhulma, fitina, kijicho, nuksi, mauaji na kila aina ya ushenzi inaonyesha Dunia ina dosari na ulimwengu kwa ujumla.Safi kabisa, dosari ya Dunia ipo wapi ? Je kila kilicho pinda mathalani kina dosari au ukamilifu ?
Kama haipo hivyo, iko vipi?Haipo hivyo na hata wewe uki-force basi utajikuta unahukumiwa na mfumo huo
Nakupa mfano
Ukiambiwa kuwa kuna binti wa miaka 20 ambaye ana mama yake mzazi mwenye umri wa miaka 5, utakubali kuwa watu hao wapo?
Au utasema hujui?
Kumbuka ukisema hujui watu hao kama kweli wapo (kuwa neutral), maana yake umekubali kuwa upo uwezekano wa huyo binti na mama yake mzazi mwenye umri ule kuwa wapo vile vile kama ilivyoelezwa ila huna uwezo tu wakutafiti
So kwenye situation hiyo ebu tupe jibu lako
Halafu tuambie kitu gani ambacho kwako wewe unahakika kuwa 100% hakipo tuangalie kama hicho kitu hakina uwezekano wa kuwa tofauti na wewe ulivyokipokea.
Halafu utatupa sababu kwanini haukuchagua kuwa neutral kwenye hicho kitu
Yap naweza, kupitia formula ya family tree ambapo ndani yake kuna Genographic DNA test kitHivi wewe hapo unawezaje kuthibitisha umetokana na babu wa babu yako ambaye hujawahi kumuona au kumsikia..?
Sasa kama hujachukua ushahidi utaaminikaje kuwa ni mkweli?Ukikutana na tuseme mimi sehemu tukiwa wawili tu na hakuna aliyetuona yeyote na ukawa haukuchukua ushahidi wowote baada ya hapo nikawa labda nimefariki, na badae ukaenda kumwambia rafiki yako kuwa tumekutana sehemu fulani, akabisha na kukudai utoe uthibitisho utafanyaje aamini tulikutana..?
Kwa hiyo kusema Mungu hayupo ni imani ya kisayansi?Sayansi haina uwezo wa kuthibitisha uwepo wa miungu/mungu. Kwahiyo nikiquote "Science studies and attempts to explain only the natural world while God, IN MOST RELIGIONS, is supernatural".
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama imani ni njia ya kweli kujua ukweli wa jambo basi tungekuwa na imani moja yenye kuamini Mungu mmojaMnaobisha hakuna Mungu hoja zenu ni kuwa sisi tunao amini tuthibitishe uwepo wa Mungu, labda kuwaonesha huyo Mungu au yeye ajioneshe kuwa yupo..! Mnasahau wanaodai Mungu yupo madai yao yanaeleza Mungu kama Roho (kitu kisicho umbo). Mnasahau Mungu wa waaminio haonekani, hagushiki, na wala havhunguziki kwa science ambayo nyie mnataka sie waaminio tuitumie kuwaaminisha nyie msioamini.
Kilicho beyond your grasp, we umekijuaje?Kiufupi sisi Mungu tunaye mwongelea ni
God who's beyond our mind, beyond our reasoning, beyond the human sciences, beyond your thinking capacity and that's why you fail even to understand Him. Wanao mwelewa/kumjua si kwa uwezo wao bali kwa utashi wake amewapa neema kumjua na kumfahamu. Kwa namna unavyosupaza shingo neema yake akiona inafaa anaweza jithihirisha kwako kabla ya kukukata kichwa/kufa)kukata shauri.
Uhusiano wa mfano wako upo kwenye hoja inayodai sayansi kuna vitu vingi haivijui na kwamba haikupaswa iseme havipo badala yake ikubali haivijui kwasababu haiwezi kuvithibitisha havipo.Kama haipo hivyo, iko vipi?
Mfano wako una uhusiano gani na uwepo wa Mungu au la?
Sawa sawaHata hivyo, katika mfano wako ameandika sentensi "mama mzazi". Naamini unafahamu kwa undani maana ya sentensi hiyo. Utakuwa unajua zaidi uhalisia, kwa nini mama mzazi amekuwa na umri madogo kuliko binti yake.
Naam, ongelea hizo dosari.Anha.. tuongelee dosari ktk kusupport uhai wa viumbe wa dunian
Life generally iko katk delicate balance. Ukiondoa kiumbe mmoja (au mmea) ktk eco system, anaweza kusababisha viumbe wengine wengi zaid kutoweka..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi na kila kitu hapo kina sababu. Kingine hakuna nuksi duniani hili ondoa.Kwenye ulimwengu uliojaa dhiki, dhulma, fitina, kijicho, nuksi, mauaji na kila aina ya ushenzi inaonyesha Dunia ina dosari na ulimwengu kwa ujumla.
Sawa, kwa hiyo Mungu yupo.Uhusiano wa mfano wako upo kwenye hoja inayodai sayansi kuna vitu vingi haivijui na kwamba haikupaswa iseme havipo badala yake ikubali haivijui kwasababu haiwezi kuvithibitisha havipo.
Ndipo nikakuambia kwa hoja yako hiyo hakuna kitu ambacho unaweza kudai hakipo na ndio maana nikakuwekea ule mfano
Kwa hiyo binti wa miaka 20 ambaye ana mama mzazi wa miezi 3, yupo?Sawa, kwa hiyo Mungu yupo.
Ni conclusion ya kisayansi...Kwa hiyo kusema Mungu hayupo ni imani ya kisayansi?
Kapanga nani na yamepangwa na nani?Kivipi na kila kitu hapo kina sababu. Kingine hakuna nuksi duniani hili ondoa.
Hayo yote yamepangwa yawepo katika ulimwengu si kwamba yametokea tu bahati mbaya. Ndiyo maana nataka mnipe dosari na kwanini na mmejuaje Hilo ?
Umenikumbusha hii meme..Kapanga nani na yamepangwa na nani?
Sifa za Mungu wenu si mwenye huruma, upendo na mpenda haki?
Sasa huoni hiyo inakinzana sifa tajwa?