Kingine jifunze kutumia msamiati kwa maana yake halisi. Tamko "Closer" maana yake ni karibu sana, kitu ambacho kwa hapo hakiakisi uhalisia. Huo mwendo hauko karibu kama unavyo dai.Unalewa kua anaetembea 50kph yuko closer to speed of light kuliko alie 10kph, sindio?
Huez kusema kua ni bullshit kama huna idea which is more convincingAnhaa, so ukweli ni kwamba haiwezi kuwa proved for obvious reasons......
Basi hakuna ubaya wowote mtu ku_doubt maana hata walioitoa hawana uhakika kwamba ni valid 100%
Sasa kama mfano hai unakua mgum kuelewa itabid tutumie assumption.Nataka uonyeshe inaongezeka vipi wakati athari ya kitu inasababishwa mwendo tena katika medium hiyo hiyo. Hayo maelezo mengine ni chai tu za Wanasayansi ndiyo maana ninacho kuuliza unashindwa kujibu.
Yaani onyesha inaongezeka vipi, ili ujue hakika ya jambo huwa mnafanya vipi ? Au mnaishia juu juu tu na kufikia hitimisho ( na inajulikana wazi kabisa tatizo kubwa la Sayansi ni katika kufikia hitimisho, huwa Kuna kkna nyingi sana na Assumptions kibao, lengo kuficha udhaifu wao)
Starting point yani initial velocity? Inabid iwe 0Kingine jifunze kutumia msamiati kwa maana yake halisi. Tamko "Closer" maana yake ni karibu sana, kitu ambacho kwa hapo hakiakisi uhalisia. Huo mwendo hauko karibu kama unavyo dai.
Kingine Kuna suala la "Starting Point" tukirudi kujadili ukweli kuhusu mwendo wa light. Walivyo kuwa wanapima mwendo wa light reference Yao ilikuwa wapi ? Kwa maana Starting Point, sababu hakuna Velocity bila "Starting Point" na katika maelezo utakayo yatoa usilete habari za "Assumptions" sababu maana yake naijua vizuri mno. Yaani nataka uguse uhalisia.
So inabidi tuukubali uongo.... Kwasababu hatuna idea ambayo ni more convincing?!Huez kusema kua ni bullshit kama huna idea which is more convincing
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo si sababu ushaiweka kwamba ni Mwendo kasi. Nataka uonyeshe wapi uzito unaongezeka.Sasa kama mfano hai unakua mgum kuelewa itabid tutumie assumption.
Chukulia huu mfano wa uhalisia; ukijaribu kumsukuma mtu anaekuzidi uzito itakua ngumu kumdondosha. Ila ukitaka ufanikiwe itabid urud nyuma, uje na spidi umpush ndo utafanikiwa kumdondosha. Hii sini kweli na unaelewa hilo? Sasa kwann ukimpush kwa spidi unamdondosha? Kwasababu utakua umegain momentum, na momentum inapoongezeka inamaana na mass inaongezeka. Mm naona changamoto hapa hujaelewa mass ni nn. Mass sio uzito, uzito ni weight.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio uongo. Ni factsSo inabidi tuukubali uongo.... Kwasababu hatuna idea ambayo ni more convincing?!
Elewa swali nililo kuuliza. Kwenye kupata Mwendo kasi wa Mwanga, starting Point ilikuwa ni nini na wapi ?
Mbona unapinga kauli yako tena mkuu.... Kumbuka "ulisema for some reasons haiwezi kuwa proved"
Hapo kwenye uzito ndio hatujaelewana. Yani sio kwamba ukiendesha gari lako la 1tone ukakimbiza to 250kph kwamba hilo gari litaongezeka kilo, hapana. Ila ile kiwango cha energy ilionayo ndio kitaongezeka kwa lugha nyingine hii energy tunaiita 'inertial mass'. Kwa hapa formula niSasa hapo si sababu ushaiweka kwamba ni Mwendo kasi. Nataka uonyeshe wapi uzito unaongezeka.
Kingine hakuna haja ya kutumia Assumptions, matumizi ya Assumptions huonyesha uvivu wa kufikiri na uzembe. Kadhalika unaweza ukatumia Mwendo kazi mkubwa na usifue dafu kadhalika.
Kingine hujibu swali ninalo kuuliza.
Bro evolution is a fact inaweza kua proved. Ila hio ya kwamba kila kiumbe kimetokana na samaki haiwez kua proved, for obvious reasons.Mbona unapinga kauli yako tena mkuu.... Kumbuka "ulisema for some reasons haiwezi kuwa proved"
Sasa fact gani ambayo haiwezi kuwa proved?
atukuepo day 1 kipind life ina form
sio kila kitu kimefossilize, kwhy kuna missing links kibao.
Ukiangalia mpangilio tu lazma kutakuwa na mbunifu fulani alipangilia, na ushahidi tunaupata kwenye maandiko matakatifu, kwa hiyo ww unaamini ulimwenguni umetoka wapi?Mkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita
Ila ulichosahau ni kitu kimoja
Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.
Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.
Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo
Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibitishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa
Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.
Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya endapo akifundishwa.
Sasa
Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?
Tunaweza tukathibitisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio uthibitisho wa Mungu asiyepimika?
Lakini pia
Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu ni mzuri?
Aliyesema laptop Hp omen ya gaming ni bora aliangalia toleo la chini yake au alifananiaha na brand nyingine kwenye maswala ya kiuwezo akaona Hp Omen ni laptop bora
Sasa ulimwengu huu mnaosema ni mzuri au ni bora, ni bora ukiufananisha na ulimwengu upi?
Umesema Evolution inaweza kuwa proved......Bro evolution is a fact inaweza kua proved. Ila hio ya kwamba kila kiumbe kimetokana na samaki haiwez kua proved, for obvious reasons.
Kama izo reasons hujaona kua ni obvious ngoja nikutqjie;
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ulimwengu umetoka wap?Mfumo wa maisha ukilinganisha na mfumo upi mwingine wa maisha?
Ulishawahi kuishi nje ya mfumo huu uka experience terrible life thats why ukifananisha na huu mfumo unaona huu mfumo ni bora?
Na tukimfikiria huyo mpangiliaji wa ulimwengu huoni kwamba ni lazima kutakuwa na kitu kingine kilichompa huo ubunifu?Ukiangalia mpangilio tu lazma kutakuwa na mbunifu fulani alipangilia, na ushahidi tunaupata kwenye maandiko matakatifu, kwa hiyo ww unaamini ulimwenguni umetoka wapi?
SijuiKwa hiyo ulimwengu umetoka wap?
Kijana umeona haya mambo ya kufikirika yalivyo magumu kuyaweka wazi ? Mass ni tungamo kwa maana ya uzito,ndiyo maana kizio chake ni aidha Gram au Kilogram. Unaposema ya kuwa Mass inaongezeka ujue kama ilikuwa ni kilo 20 basi inakuwa ni kilo 30. Ndiyo maana ukiangalia hitimisho la theory ya Relativity utaona ni hitimisho la kijinga sana, kwamba Mass ni mkusanyiko wa nishati na si chochote, nilikuuliza hili swali kwamba kwa akili yako hili ni kweli ? Hukujibu hili swali.Hapo kwenye uzito ndio hatujaelewana. Yani sio kwamba ukiendesha gari lako la 1tone ukakimbiza to 250kph kwamba hilo gari litaongezeka kilo, hapana. Ila ile kiwango cha energy ilionayo ndio kitaongezeka kwa lugha nyingine hii energy tunaiita 'inertial mass'. Kwa hapa formula ni
momentum=mass×velocity
Sasa hapa siunaona kua ukiongeza force (momentum) na mass ya kitu inaongezeka pia?
Practically najua unaeza kurelate..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza unaelewa hata evolution ni nn?Umesema Evolution inaweza kuwa proved......
Lakini bado mpaka sasa hujaweka any evidence mezani
Hio energy exerted by a body at motion (momentum). Iko directly proportional to mass. Ivo ukiwa una mass kubwa tunategemea kua na momentum yako itakua kubwa, and vice-versa is true. Formula inaprove hili na in practice pia inakua proved.Kijana umeona haya mambo ya kufikirika yalivyo magumu kuyaweka wazi ? Mass ni tungamo kwa maana ya uzito,ndiyo maana kizio chake ni aidha Gram au Kilogram. Unaposema ya kuwa Mass inaongezeka ujue kama ilikuwa ni kilo 20 basi inakuwa ni kilo 30. Ndiyo maana ukiangalia hitimisho la theory ya Relativity utaona ni hitimisho la kijinga sana, kwamba Mass ni mkusanyiko wa nishati na si chochote, nilikuuliza hili swali kwamba kwa akili yako hili ni kweli ? Hukujibu hili swali.
Kama hivyo ndivyo hakuna maana ya wao kutumia Tamko mass sababu halina maana katika uhalisia, ila kwenye makaratasi Lina maana ili kukidhi hitaji la kimahesabu. Wewe una akili kijana japo ndiyo shida hufiirii kulikuwa Kuna haja gani ya kusema Kuna mass wakati inaonekana nguvu imeletwa na ule mwendo kasi ?
Achana na mambo ya Momentum haya yako wazi sababu hakuna energy hapo inayoengelewa, ila katika hii formula ya Mass Energy Kuna sarakasi nyingi ambazo hazina uhalisia zaidi ya falsafa tu na michezo ya danganya toto.
Hakuna asiyeelewa evolution....Kwanza unaelewa hata evolution ni nn?
Evolution sio samak kubadilika kua mjusi
Sent using Jamii Forums mobile app