Sayansi ni nature, elimu ya kiutafiti inayochunguza vitu vilivyotuzungukaUtafiti wa kisayansi ni kutafuta ushaidi wa jambo fulani, na kuna wakati inakosa majibu. Kushindwa kupata jibu la kisayansi, hakuhalalishi kuwa hakuna jibu, bali ni kufikia ukomo wa uwezo wake.
Ipo wapi hiyo proof uliyotoa....Mkuu yan nakupa proof afu bado unakataa[emoji23]
Ushawahi kudeal na panya au kungun ww? Ushawah kuwapa sumu? Mara ya kwanza wanakufa ukiwapa sum then baada ya muda wanaacha kufa, hio pia ni Evolution.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sponge sio wa kwanza. Ila ni kati ya viumbe wa kwanza so far kwa data zilizopoIpo wapi hiyo proof uliyotoa....
Hujaprove kwamba Sponge ni kiumbe wa kwanza kuumbwa unatoa story tu.. thibitisha Mkuu
Hizo data una uhakika nazo?Sponge sio wa kwanza. Ila ni kati ya viumbe wa kwanza so far kwa data zilizopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Data nina uhakika nazo. Kama sio za kweli basi ww leta data zako tuone zipi zina mashiko zaidHizo data una uhakika nazo?
Au umeamini tu
Hauna uhakika bali umeaminishwa tu.... Kama ulivyoaminishwa kwamba Mtu asili yake ni ApesData nina uhakika nazo. Kama sio za kweli basi ww leta data zako tuone zipi zina mashiko zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wakifanya research then wakija na data kwamba Tanzania imeizidi uchumi Marekani.... Utawaamini?Data nina uhakika nazo. Kama sio za kweli basi ww leta data zako tuone zipi zina mashiko zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi leta data unazoona ni za kweli [emoji2377]Hauna uhakika bali umeaminishwa tu.... Kama ulivyoaminishwa kwamba Mtu asili yake ni Apes
Hapana. Kwasababu si ukweli tunauona...Watu wakifanya research then wakija na data kwamba Tanzania imeizidi uchumi Marekani.... Utawaamini?
Sasa vipi unaamini kuhusu Sponges wakat na yenyewe haina ukweli wowote.
Haina ukweli wapi wakat ukweli tunauona. Fossilized sea sponges wapo. Na kuna methods za kifanya dating. Ukifanya dating uaona zilikuepo since 800+MYASasa vipi unaamini kuhusu Sponges wakat na yenyewe haina ukweli wowote.
Kiukweli inabidi tukubali kuna vitu hatuvijui.
Na yes.. kuna vitu hatuvijui, ndiomaana sayansi haijalalaSasa vipi unaamini kuhusu Sponges wakat na yenyewe haina ukweli wowote.
Kiukweli inabidi tukubali kuna vitu hatuvijui.
Ukweli tunauona.?Haina ukweli wapi wakat ukweli tunauona. Fossilized sea sponges wapo. Na kuna methods za kifanya dating. Ukifanya dating uaona zilikuepo since 800+MYA
Sent using Jamii Forums mobile app
Maximum speed ya risasi ikitoka inakuwa umbali gani kwa mita ? Shida yenu huwa hamujoji. Kipi kinafanya kitu kiongozeke uzito ? Unajuaje hapa risasi imeongezeka uzito na siyo kwa sababu ya athari ya mwendo kasi ? Ulipimaje uzito huo pindi ulipo ongezeka ?Haha... sasa hivo sini vitu asilia kabisa.
Mfano special relativity basically inakuambia kua, kitu kinavokaribia speed ya mwanga kinaongezeka energy, au increase in mass. We unaona kuna uongo hapo? Mfn; ukipigwa na risasi unajua kwann inakuletea majeraha, pengine kuvunja hata mfupa wako ihali risasi ni kitu kidogo tu? Ni kwasababu inakua na kasi kubwa ivo na energy yake inaongezeka. Na ndio sababu kwamba utapona ukigongwa na semi trailer linalo enda kwa spidi ya 2km/h ila utakufa ukigongwa na baiskeli inayoenda 450km/h
Black holes ni vitu halisia na vipo sjui kwann unaita visasili...
Huenda sayansi siijui, ila na ww pia kuna kitu kwente sayansi hukijui. Au ni ile umekariri tu ile sayansi ya kujibia mtihan ila hamna unachoelewa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap kufanya uchunguzi ni jambo zuri,...... Lakini sio kila tunachoambiwa tuamini...
Sea sponges- then a fish like thing- then aka crowl out of water etc...Ukweli tunauona.?
Yani kwamba viumbe wote wanatokana na kiumbe mmoja aliyetoka majini....
Nilikuuliza huyo Kiumbe ni nani hujanielimisha mpaka leo mkuu
Japan kuna Miungu wengi wanaoabudiwa, moja wa Miungu ambaye nimekuwa interested na stori zake ni EricNi vema wanasayansi wakubali kuwa hawajui kuthibitisha uwepo wa Mungu kuliko kusema Mungu hayupo bila uthibitisho.
Je, sayansi imetumia nini kuthibitisha kuwa Mungu hayupo?
Anhaa, alivyo crawl out of water ikawajeSea sponges- then a fish like thing- then aka crowl out of water etc...
Sent using Jamii Forums mobile app
Maximum speed ya risasi ikitoka inakuwa umbali gani kwa mita ? Shida yenu huwa hamujoji. Kipi kinafanya kitu kiongozeke uzito ? Unajuaje hapa risasi imeongezeka uzito na siyo kwa sababu ya athari ya mwendo kasi ? Ulipimaje uzito huo pindi ulipo ongezeka ?
Kingine ni Baiskeli gani inaweza kwenda umbali wa 450km kwa lisaa ? Ndiyo maana mnakuwa mashabiki wa Sayansi na kuukimbia uhakia, unatoa mifano pasi na kuangalia uhalisia.
Onyesha uhalisia wa Blackhole usiishie kuandika tu juu na kupotea.
Sasa ili tuone kama nimekariri wewe Jenga hoja na Mimi niweke hoja zangu, tuone mwisho wake unakuwaje.
Kwanza tunakubal kua kuna fossils za viumbe ambao kwa dunia ya sasa hawapo, sindio?Yap kufanya uchunguzi ni jambo zuri,...... Lakini sio kila tunachoambiwa tuamini...
Mfano Evolution Theory ni Uongo mweupe