Kwa hiyo nikionyeshwa fuvu la Chimpanzee na kuruhusiwa Kushika..... Ndiyo itakua tayari nishapata proof kwamba Mtu kabla ya kuwa Mtu alikua Chimpanzee?Sini kitu unaona kabisa. Unaoneshwa... vingine unaruhusiwa kushika
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuelezee hy evolution kuongelea miaka Ile mingi ilopita walitumia nini ?Uzur wa science kama kitu ni guessing unaambiwa kua ni guessing...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ni selective breeding imefanya kupata izo traits. Kwa lugha nyingine inaitwa "human assisted EVOLUTION". Kwahio ndio, hio ni evolution!Hivi, Kuku Broiler ile ni evolution?
Ng'ombe wa kizungu ni evolution ile?
Ili iwe evolution inabidi ituletee kiumbe ambacho ni completely different
Mfano, Mwanamke akipewa medication ambayo itamfanya atoe maziwa mengi... Je tutasema hiyo ni evolution?
Mtu hajawahi kua chimpanzeeKwa hiyo nikionyeshwa fuvu la Chimpanzee na kuruhusiwa Kushika..... Ndiyo itakua tayari nishapata proof kwamba Mtu kabla ya kuwa Mtu alikua Chimpanzee?
A combination of dating techniques. Moja ikiwa ni carbon dating.Tuelezee hy evolution kuongelea miaka Ile mingi ilopita walitumia nini ?
Mkuu unapinga kauli yako,.. umesahau mwanzo ulisema Closest relative wa Human being ni Chimpanzee
Sijapinga kauli yangu.Mkuu unapinga kauli yako,.. umesahau mwanzo ulisema Closest relative wa Human being ni Chimpanzee
Kuku Broiler Bado anabaki kuwa Kuku,... Hakuna evolution yoyote hapoHio ni selective breeding imefanya kupata izo traits. Kwa lugha nyingine inaitwa "human assisted EVOLUTION". Kwahio ndio, hio ni evolution!
Kumpa mama mjamzito dawa fulan ili azalishe maziwa mengi. Iko hivi, je watoto wake pia watazalisha maziwa mengi? Itakua ndio genetic default yake? Kama ndio, basi ni EVOLUTION! Ila human assisted evolution ni unethical kufanya kwa binadamu, maana ukialter genes hua kuna side effects znatokea...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyosema Chimpanzee ni closest relative wa Mtu in relavant with issue ya evolution ambayo tunaizungumzia hapa ulimaanisha nini Mkuu..,Sijapinga kauli yangu.
Nilisema kua closest living relative wa binadamu ni chimpanzee
Sehem ingine nikasema kua binadamu hajawah kua chimpanzee
Nimepinga nn hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuuhh... basi huelew maana ya evolution chalii anguKuku Broiler Bado anabaki kuwa Kuku,... Hakuna evolution yoyote hapo
Hakuna kiumbe kipya kilichotokea zaidi ya kufanya medication na kuharibu.... Au wewe huoni madhara yanayotokana na broilers?
Nilimaanisha kua, chimpanzee ni closest living relative wa binadamu. Kumaanisha kwamba, ni kiumbe pekee aliehai ambaye tunashare common ancestors. Walikuepo wengine ila wametoweka, ndio kuna mjadala wa kwann walitoweka? Na katk genetic studies tunaona kua kuna baadhi ya binadamu wana dna za hawa hominids wengine, kumaanisha kua kuna uwezekano walizaliana na binadamu!Ulivyosema Chimpanzee ni closest relative wa Mtu in relavant with issue ya evolution ambayo tunaizungumzia hapa ulimaanisha nini Mkuu..,
Yani unafkir kwamba kuku anapewa dawa(medication, km ulivosema) afu ndo anakua broiler?Kuku Broiler Bado anabaki kuwa Kuku,... Hakuna evolution yoyote hapo
Hakuna kiumbe kipya kilichotokea zaidi ya kufanya medication na kuharibu.... Au wewe huoni madhara yanayotokana na broilers?
Ngoja tuweke mambo sawa.....
Hapana,Yani unafkir kwamba kuku anapewa dawa(medication, km ulivosema) afu ndo anakua broiler?
Sent using Jamii Forums mobile app
Evolution mbona inaeleza vyote ivo kaka...Ngoja tuweke mambo sawa.....
Ipo hivi Mimi kuna vitu naona ni Uongo kwenye Evolution Theory
Kwanza kabisa.., Evolution Theory ambayo inasema Mtu asili yake ni "Apes"
Haituambii "Apes" asili yake ni nini
Evolution inabidi ianze kutoa proofs zake from nothingness...... Yani kabla viumbe vyote havipo... Then itaje kiumbe Cha kwanza na jinsi kilivyobadilika na kuwa kiumbe kingine.
~Mfano.., Evolution inabidi ituambie From Nothingness Nyuki walitokea wapi.......na kabla Nyuki kuwa Nyuki alikua kiumbe gani?!
Inaelezeaje...?Evolution mbona inaeleza vyote ivo kaka...
Na binadamu ni apes mpaka sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaeleza kua viumbe wote wameevolve kutoka kwa kiumbe mmoja. Life ilianzia ndani ya maji ndio ikaja nchi kavu.Inaelezeaje...?
Unaliamini Hilo...?Inaeleza kua viumbe wote wameevolve kutoka kwa kiumbe mmoja. Life ilianzia ndani ya maji ndio ikaja nchi kavu.
From a single cell to multi cell
Sent using Jamii Forums mobile app
KWA wakati ule zilikuwepo hizo techs ?A combination of dating techniques. Moja ikiwa ni carbon dating.
Ulshawah kuskia zile case mtu kauawa miaka 10 iliopita halaf wanakuta mwili wake sehem wanapeleka kwa uchunguz then wanagundua ni lini mauwaji yamefanyika? Ulijiuliza wanajuaje?
Kwa available data, 1st creatures ni spongesUnaliamini Hilo...?
Na kama unaliamini Hilo, huyo Kiumbe mmoja ni Nani?
Au Hawamjui wanadhania tu?