Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 677
Hio ya twiga umeiquote vby. Unajua "living relative" wa twiga? Ni mnyama hana shingo ndefu... na pia kuna fossil records!Hahhh haswaa, evolution Theory ni Imani tena Imani potofu Maana ukisoma Concepts za Natural Selection; kuhusu Twiga kuwa na shingo ndefu evolution Theory inasema "Twiga alikua na shingo fupi
Ila Kwasababu alikua anatamani sana kula majani kutoka kwenye miti hivyo ikapelekea shingo yake kuwa ndefu. "
Yani ni Uongo wa wazi kabisa.
Mimi leo nataka waseme Kinyonga kabla ya kuwa Kinyonga alikua kiumbe gani kwa mujibu wa Evolution Theory.?
Na Konokono nae alikua kiumbe gani kabla ya kuwa Konokono..?
Bro, ndiomaana museums ziko open to public. Zile ni proof... ukiona huelew vzr somea kabisaWewe ukiambiwa uprove kwamba Mtu alikua Sokwe utaweza..!?
Na kwanini tusiseme Sokwe alikua mtu., Ndiyo aka_evolve kuwa Sokwe?
So, Mkuu unataka useme chochote watakachosema Marekani ni cha kweli..!?"...hamna cha sayansi wala nini maana wanaenda kwa kuamini kitu ambcho hawajawahi kukishuhudia..."
Uchunguzi wa panya ulifanywa ( ni marekan nafkir). Wamegundua kua panya wanaoishi karibu na binadamu,in a span of 200 walidevelop ubongo mkubwa zaid. Hii ni kutokana na fact kua binadamu wanajaribu kuwaua panya kwa mitego, so wale waliokua smarter kutegua mitego ndio walisurvive na kuzaliana. Kwa sasa panya wanaoishi na binadamu wana ubongo mkubwa zaid on average, kulinganisha na wale wa pori. Proof of evolution.
Baadhi ya species za ndege zimeonekana kupungua wing span tokea magari yalivoanza kutumika kwa wingi. Kama unajua ndege znavofanya kaz utaelewa kua mabawa marefu inamaanisha less maneuverability. Kwhy wenye mabawa marefu wakawa wana collide na magari wanakufa so default ikawa short wingspan. Evolution!
Na ulishawahi kujiuliza how comes kuna breed tofauti za mbwa, kuku, bata etc...? Na unajua kua mbwa na wolf ni species moja ie. Canis lupus? (Mbwa ni subspecies ya wolf ie canis lupus familiaris).
Hizi breeds za mbwa mfn. GSD, pitbull, chihuahua etc. Zimetengenezwa kwa "selective breeding". Same goes kwa breeds za kuku mfn, kuku wa nyama, kuku wa mayai etc... "SELECTIVE BREEDING" ni binadamu wanatengeneza ila ikitokea kwenye nature inaitwa "NATURAL SELECTION", ambayo ndio Charles Darwin aliitumia kuelezea..... EVOLUTION!!
SURPRISE!! SURPRISE!! We have proof of evolution hizi ni kdg tu, lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sijakataa.., Ila nimekuuliza hivi "Ukiambiwa uprove kwamba Mtu alikua Sokwe utaweza?Bro, ndiomaana museums ziko open to public. Zile ni proof... ukiona huelew vzr somea kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndio closest living relative wa twiga (notice hana shingo ndefu):Hahhh haswaa, evolution Theory ni Imani tena Imani potofu Maana ukisoma Concepts za Natural Selection; kuhusu Twiga kuwa na shingo ndefu evolution Theory inasema "Twiga alikua na shingo fupi
Ila Kwasababu alikua anatamani sana kula majani kutoka kwenye miti hivyo ikapelekea shingo yake kuwa ndefu. "
Yani ni Uongo wa wazi kabisa.
Mimi leo nataka waseme Kinyonga kabla ya kuwa Kinyonga alikua kiumbe gani kwa mujibu wa Evolution Theory.?
Na Konokono nae alikua kiumbe gani kabla ya kuwa Konokono..?
Naeza.Sawa sijakataa.., Ila nimekuuliza hivi "Ukiambiwa uprove kwamba Mtu alikua Sokwe utaweza?
Kwanini hana Shingo ndefu?Huyu ndio closest living relative wa twiga (notice hana shingo ndefu):
View attachment 2524181
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio ww unataka kusema chochote walichosema watu wa mashariki ya kati ni cha kweli?So, Mkuu unataka useme chochote watakachosema Marekani ni cha kweli..!?
Okay, tuambie Kinyonga kabla ya kuwa Kinyonga alikua kiumbe gani..?!
Prove
Mazingira aliokua subjected hayamuhitaj awe na shingo ndefu...Kwanini hana Shingo ndefu?
Saa ngapi nimesema kuhusu habari za Mashariki ya Kati....??Kwahio ww unataka kusema chochote walichosema watu wa mashariki ya kati ni cha kweli?
Hicho cha wamarekani kuna kuna ushahid upo kwenye museums, ukiona kuna makosa una karibishwa kuleta hoja yako ya kupinga na kufanya utafiti. Na KUNA PROOF! Ukizingatia hio ya panya na ndege, ni kitu kimehappen sio zaid ya miaka 200 iliopita so hata specimens sio ngum kupata, unaweza ukafanya uchunguz hata ww ukitaka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maelezo marefu na nilicho note ww huyasomi.Prove
Je, chochote nitakachokikuta Museums ni cha kweli?
Umaani miungu au mungu?Saa ngapi nimesema kuhusu habari za Mashariki ya Kati....??
Mimi natumia akili yangu tu ku_reason hata wewe itapendeza ukishirikisha akili yako kuliko kuamini moja kwa moja kile ambacho unaambiwa..
Mungu ni Imani na sio uhalisia , tunaamini Mungu yupo , kidogo wakristo wanaweza kusema Mungu wao Yesu walimuona katika mwili , ila waislamu ni mtu mmoja anaitwa Muhammad amedai na kuaminisha wengine na yeye hajawahi kumuona huyo AllahKijana jifunze kuandika maneno machache na uguse hoja. Uhalisia unahitaji kipimo gani ili ujulikane ?
Uwepo wa jua kuwa juu yetu unahitaji kipimo gani kujua hilo ? Baba kuwa mkubwa kiumri kuliko mtoto kunahitaji kipimo gani kujua hili ?
Uhalisia upo kijana, uhalisia haudaiwi, ndiyo maana hizo si za kweli kutokana na maana ya dini na muelekeo wake.
Kingine uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.
Sini kitu unaona kabisa. Unaoneshwa... vingine unaruhusiwa kushikaJe, chochote nitakachokikuta Museums ni cha kweli?
Uzur wa science kama kitu ni guessing unaambiwa kua ni guessing...Historical science VS Observational science
Wanapo zitumia kuongelea mambo ya miaka flani iliyopita.... Then wanakuja kukuwekea intelligent guessing kuhitimisha yaliyotokea. Ngoma zinakataa.
#Hatutaki Guessing hapa
Hivi, Kuku Broiler ile ni evolution?Mazingira aliokua subjected hayamuhitaj awe na shingo ndefu...
Ni sawa nikuulize kwann kuku broiler hatagi mayai. Au kwann ng'ombe wa kizungu, wa maziwa anatoa maziwa mengi kuliko wa kienyeji?
Jibu ni kua, genes fulan zimekua activated au fulan zimekua shut down, kwa lugha nyepesi.
Fact ingine hii hapa, Ancestor wa nyoka alikua ni kiumbe mwenye miguu (kuna fossil records), ila hio gene kwa sasa iko shut down. Wanasayansi wameweza kuactivate na kuna waliobreed na kuzalisha nyoka mwenye miguu. Sometimes inatokea randomly, nyoka anatotolewa akiwa na miguu, sanasana hua ni chatu.
Na fact ingine: ancestor wa ndege alikua na meno, kuna kikundi cha wanasayansi kilizalisha kuku mwenye meno, walifanikiwa "kuactivate" hio gene.
Sent using Jamii Forums mobile app