Hapo juu umekubali kuwa kifo ni kibaya na umetoa sababu kuwa ni lazima watu wafe ili mkutane na muumba wenuSiyo kweli
Ndiyo maana nakuuliza una elimu gani wewe??
Mbona unaongea vitu vya ajabu?
Napouliza swali naku encourage wewe uweze kufikiria kiusahihi msingi wa swali lako kwanzaUnaona ulivyo sasa?
Unaulizwa swali badala ya kujibu nawe unauliza swali
Swali kaandika nini, elewa maneno kijana, usichoshe watu, mbona unakuwa mjinga kiasi hiki ? Hivi nikiandika Bakuli limezaa na Bakuli limevunjika kauli hizi ziko sawa ? Utajuaje kama haziko sawa ? Lazima unagalie "Content" acha kuchosha watu kwa vitu vyepesi na ambavyo viko wazi.Kwahiyo mtu akiandika kuwa hiki ni uhalisia kinakuwa kweli ni uhalisia?
Najua ulikuwa huna haja pengine ni kwasababu hata sikukuuliza, ila mimi sasa naulizaZile post sikua na haja ya kukuuliza ila kwenye hii nimeona haja ya kukuuliza
Kwani vinatakiwa viandikwe na nani ili vionekane ni uhalisia?Swali kaandika nini,
Mtu anayesema jamaa mwenye miguu 6 na urefu wa futi 30 anayehusishwa na ujenzi wa hii nyumba hayupo, anatakiwa atolee wapi nguvu ya kusema hivyo?
Ni factors zipi zinazokufanya uone mtu huyo hayupo kihalisiaMtu mwenye akili timamu hawezi kuandika maneno hayo, sababu si uhalisia hakuna mtu mwenye urefu wa futi 30 wala miguu 6 zama hizi.
Kingine haijalishi umjue au usimjue, hoja ni kwamba je nyumba inaweza kujijenga pasi na kujengwa au kutokea pasi na chochote ? Kama jibu ni kinyume chake haya unayo yaandika hayana maana sijui unayaandika kwa lengo gani, zaidi ya kupotezea watu muda.Ukishindwa kujua nani aliyejenga nyumba uliyooneshwa huko porini tafsiri yake ni kuwa imejengwa na jamaa mwenye miguu 6 na urefu wa futi 30?
Sasa mara ngapi imekuwa rahisi kuthubitisha, ndiyo maana unayo yaandika yanakuwa ujingana utoto sababu uhalisia ni mwepesi mno.Uhalisia unapaswa kuwa ndio kitu chepesi kuthibitishwa
Sio kwasababu uhalisia eti iwe ndio ngumu kuthibitisha
Mi nimekuwa nakushangaa unaposema jua ni uhalisia na halihitaji ushahidi, at the same time umetumia sense organ ya macho na ngozi kuona na kuhisi then how come kitu hicho kisihitaji ushahidi?
Na ndio maana nakusisitizia unipe maana ya uhakisi kutoka kwenye hicho chanzo ili nijihakikishie kweli kuwa kuna watu waliowahi kupotosha jamii kwa madai kuwa vilivyo katika uhalisia havithibitishiki.
Tuonyeshe huyo mtu mwenye futi 30 na miguu 6. Humo ndimo Kuna vigezo.Ni factors zipi zinazokufanya uone mtu huyo hayupo kihalisia
Nahoji vigezo
Nani kaandika nani ? Tuliza akili usome ninachokiandika, nimeandika "Swali, kaandika nini" siyo "nani ?".Kwani vinatakiwa viandikwe na nani ili vionekane ni uhalisia?
Sasa kwanini unakubali kupotezewa muda?Kingine haijalishi umjue au usimjue, hoja ni kwamba je nyumba inaweza kujijenga pasi na kujengwa au kutokea pasi na chochote ? Kama jibu ni kinyume chake haya unayo yaandika hayana maana sijui unayaandika kwa lengo gani, zaidi ya kupotezea watu muda.
Kama kuna mtu akijitokeza kusema amemuona utakubali?Lazima awe amemuona huyo mtu na asiwe yeye peke yake ndiyo amemuona huyo, Kisha lazima tupime ukweli na uaminifu wa Mtu huyo.
Jibu swali nililo kuuliza, kingine kuanzia muda usiniquote mpaka ujibu maswali niliyo kuuliza.
Kijana naona huna hoja, unanipotezea muda tu, unaandika ujinga hata mtoto mdogo hawezi kuandika hivi.
Soma vigezo nilivyo viandika siyo kimoja kijana. Niko makini kuliko unavyofikiria.Sasa ikitokea huyo mtu umehakiki uaminifu wake na ukaona ni mtu anayefaa kuaniniwa, je akikuambia mtu huyo mwenye miguu 6 na urefu wa futi 30 yupo utakubali?
Sikubali kwa sababu nyingi. Ushawahi kukuona huyo mtu wa miguu sita naurefu wa futi 30 ?Kama kuna mtu akijitokeza kusema amemuona utakubali?
Swali hilo anakuwa anaulizwa mtu wa namna gani?Kingine haijalishi umjue au usimjue, hoja ni kwamba je nyumba inaweza kujijenga pasi na kujengwa au kutokea pasi na chochote ? Kama jibu ni kinyume chake haya unayo yaandika hayana maana sijui unayaandika kwa lengo gani, zaidi ya kupotezea watu muda.
Jibu swali nililokuuliza.Swali hilo anakuwa anaulizwa mtu wa namna gani?
Mtu ambaye ana experience ya kujua nyumba zinajengwa au ni mtu ambaye ni totally clueless, hajui chochote wala hawajawahi kuona nyumba yeyote?
Mi nakuona wewe ndio unaandika ujinga kwasababu huko mwanzo umesema uhalisia hauhitaji uthibitishoSasa mara ngapi imekuwa rahisi kuthubitisha, ndiyo maana unayo yaandika yanakuwa ujingana utoto sababu uhalisia ni mwepesi mno.
Huoni unapata shida namna unavyoenda kinyume na uhalisia mpaka unaonekana kituko.
Nikuoneshe wapi?Tuonyeshe huyo mtu mwenye futi 30 na miguu 6. Humo ndimo Kuna vigezo.