Athari za ndimi mbili katika jamii

Mnaviraa

New Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
4
Reaction score
0
Hivi kuna siri gani kwa watu wenye ndimi mbili katika maisha? Nchi yetu imefika mahali si katika siasa, uchuni, mapenzi, mahusiano yamekuwa ndimi mbili. Iwe kwa mtu unaemwamini kwa kumpa siri zako, michongo yako, na matarajio yako anasaliti. Je tatizo la kusalitiwa limewahi kukukupata? Nini kifanyike kupunguza hali hiyo?
 
Maombi tu ndiyo suluhisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…