Usjali kamandaa kuna 2 zinakuja dreamliner inakuja na airbus 220, then a another 2 in early 2020You need more planes.Three are not enough.Am aware you've more(to total 8 I think) but still they're not enough.Start leasing.
We buy not leasing, you can't sustain any business by leasing, only for short period, otherwise we can collapse the same way like KQ.You need more planes.Three are not enough.Am aware you've more(to total 8 I think) but still they're not enough.Start leasing.
To day wananunua mbili A220-300 19/09/19You need more planes.Three are not enough.Am aware you've more(to total 8 I think) but still they're not enough.Start leasing.
KitaifaTo day wananunua mbili A220-300 19/09/19
Leasing is kind of a shit we don't wanna hearYou need more planes.Three are not enough.Am aware you've more(to total 8 I think) but still they're not enough.Start leasing.
Good!! All the best.To day wananunua mbili A220-300 19/09/19
Kitaifa
Tanzania yaingia mkataba wa kununua Airbus mbili
THURSDAY SEPTEMBER 19 2019
[https://www]
Kwa ufupi
Serikali imesaini mkata wa ununuzi wa ndege mbili aina ya Airbus A220-300 kwa ajili ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL), gharama yake haijawekwa wazi lakini inatajwa kuwa kubwa kuliko iliyotumika kununua za awali.
ADVERTISEMENT
[https://netrefer-a]
By Ephrahim Bahemu, Mwananchi ebahemu@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Wakala wa Serikali na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Airbus wamesaini mkataba wa ununuaji wa ndege mbili aina ya Airbus A220-300 ambazo zitatumiwa na Shirika la ndege la Tanzania (ATCL).
Mkataba huo umesainiwa leo Alhamisi Septemba 19, 2019 Airbus imewakilishwa na Makamu wa rais wa kampuni hiyo Afrika, Hadi Akoum na upande wa Serikali alikuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Ndege za Serikali, Benjamin Ndimila.
Akizungumza mara baada ya kusaini mkataba huo, Ndimila ambaye hakutaja gharama halisi inayotumika kununua ndege hizo amesema ndege hizo zitakuwa na tofauti na za aina hiyo ambayo tayari zinatumiwa na ATCL kwani kila kiti kitakuwa na 'skrini' "jambo hii ni historia inaacha historia".
Kwa upande wake, Akoum amesema uchongaji wa ndege ya aina hiyo unachukua mwaka mmoja hadi mwaka mmoja na nusu na kwa sasa kuna oda nyingi lakini ndani ya kipindi hicho anatumaini itakuwa imekamilisha.
"Uchongaji wa ndege sio jambo rahisi linachukua muda na kwa ndege za aina hii kwa kawaida huchukua mwaka mmoja hadi mwaka mmoja na nusu na sasa tuna oda nyingi tunapaswa kuzalisha ndege walau mbili na nusu za aina hiyo kwa siku ili kwenda na oda zilizopo," amesema Akoum.
Hawapendi kivipi boss, wakati tayari KQ inatua kwenye hizo destination zote ndani ya SADC? Kuna jirani yetu kwa jina Ethiopian ambaye ndio huwa tunamuangazia macho, nyinyi wengine wote ni vibwengo tu. Hebu jihesabie mwenyewe destinations ambazo KQ inatua ndani ya nchi za SADC, barani Afrika na duniani kote kwa ujumla.Kila la kheri Air Tanzania japo nyangau hawapendi
No wander mnapata hasara [emoji23][emoji23][emoji23]Hawapendi kivipi boss, wakati tayari KQ inatua kwenye hizo destination zote ndani ya SADC? Kuna jirani yetu kwa jina Ethiopian ambaye ndio huwa tunamuangazia macho, nyinyi wengine wote ni vibwengo tu. Hebu jihesabie mwenyewe destinations ambazo KQ inatua ndani ya nchi za SADC, barani Afrika na duniani kote kwa ujumla.
Jombaa, nyinyi mnapata hasara na bado hata hamjatua nje ya bara hili. Najua umepigwa na butwaa kwasababu ulisikiza zile propaganda zenu za kawaida kuhusu KQ. KQ sio size yenu my friend.No wander mnapata hasara [emoji23][emoji23][emoji23]
Jombaa, nyinyi mnapata hasara na bado hata hamjatua nje ya bara hili. Najua umepigwa na butwaa kwasababu ulisikiza zile propaganda zenu za kawaida kuhusu KQ. KQ sio size yenu my friend.
Kwani kuna siku hata moja ambapo ATCL imepata faida?Niletee report ya airtz inapata hasara
Niletee report ya airtz inapata hasara